Titanic : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Tazama pia: ainisha {{mbegu}} using AWB
d [r2.6.5] roboti Nyongeza: pap:RMS Titanic
Mstari 76: Mstari 76:


{{Link FA|fr}}
{{Link FA|fr}}

[[af:RMS Titanic]]
[[af:RMS Titanic]]
[[ar:آر إم إس تيتانيك]]
[[ar:آر إم إس تيتانيك]]
Mstari 127: Mstari 128:
[[nn:RMS «Titanic»]]
[[nn:RMS «Titanic»]]
[[no:RMS «Titanic»]]
[[no:RMS «Titanic»]]
[[pap:RMS Titanic]]
[[pl:RMS Titanic]]
[[pl:RMS Titanic]]
[[pt:RMS Titanic]]
[[pt:RMS Titanic]]

Pitio la 08:44, 11 Desemba 2010


Titanic ilipotoka bandari ya Belfast kwa safari za kwanza za majaribio 2 Aprili 1912.
Habari za meli British Blue Ensign
Wenye meli: White Star Line
Wajenzi: Harland and Wolff shipyard, Belfasted
Nahodha: Edward John Smith
Imeanzishwa: 31 Machi 1909
Imepelekwa maji: 31 Mei1 1911
Safari ya kwanza: 10 Aprili 1912
Mwisho wa huduma: Iligongana na siwa barafu tar. 13 Aprili 1912 ikazama baada ya masaa 3 tar. 15 Aprili 1912
Takwimu
Ukubwa wa meli: 46,328 tani GT
urefu: 269 m
Kina: 10.5 m
Mbio: Kwa kawaida mnamo 26 km/h, hadi 44 km/h
Mtindo wa kusogeza meli: Rafadha mbili za mikono mitatu, rafadha moja ya kati yenye mikono minne
Idadi ya abiria (safari ya kwanza): 1912 - jumla 2,208
  • Daraja la kwanza: 324
  • Daraja la pili: 285
  • Daraja la tatu: 708
  • Mabaharia: 891
    • Abiria na mabaharia waliookelewa: takriban 700
    • Abiria na mabaharia waliokufa: takriban 1,500

Titanic ilikuwa meli kutoka Uingereza iliyojengwa kati ya 1909 na 1912 huko Belfast. Wakati ule ilikuwa meli kubwa duniani pamoja na mwenzake "Olympic".

Ilipangwa kuzunguka kwenye Atlantiki kati ya Uingereza na Marekani.

Kwenye safari yake ya kwanza iligongana na siwa barafu tar. 14 Aprili 1912 mnamo saa sita kasorobo usiku ikazama baada ya masaa 2 na dakika 40 katika usiku wa tar. 15. Aprili.

Watu 2200 walikuwepo kwenye meli. Katika maji baridi takriban 1500 walikufa ni 700 waliookolewa na meli zilizokimbia kuokoa watu.

Ajali ya Titani ilionyesha kasoro nyingi katika sheria kuhusu ujenzi wa meli na vifaa kama idadi maboti madogo ya dharura na sheria zilibadilishwa baadaye.

1997 filamu juu ya kuzama kwa Titanic ilitolewa ikapata sifa nyingi.

Tazama pia

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Titanic kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA