Eva Longoria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Badiliko: fi:Eva Longoria
Mstari 77: Mstari 77:


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{Commons|Eva Longoria}}
* {{imdb name|id=0519456|name=Eva Longoria Parker}}
* {{imdb name|id=0519456|name=Eva Longoria Parker}}
* [http://www.youtube.com/watch?v=QZj2AtgAf_Y Eva Longoria Parker] [[Interview]]
* [http://www.youtube.com/watch?v=QZj2AtgAf_Y Eva Longoria Parker] [[Interview]]
Mstari 84: Mstari 85:
* [http://www.funnyordie.com/videos/5216488a3b Eva Longoria Parker 2007 short film] on ''[[Funny Or Die]]''
* [http://www.funnyordie.com/videos/5216488a3b Eva Longoria Parker 2007 short film] on ''[[Funny Or Die]]''
* [http://www.thesportsinterview.com/evalongoria.html Eva Longoria Parker interview, CYInterview]
* [http://www.thesportsinterview.com/evalongoria.html Eva Longoria Parker interview, CYInterview]

{{Commons|Eva Longoria}}


{{Mbegu-igiza-filamu-USA}}
{{Mbegu-igiza-filamu-USA}}

Pitio la 04:45, 8 Desemba 2010

Eva Longoria Parker

Eva Longoria
Amezaliwa Eva Jacqueline Longoria
Marekani
Kazi yake Mwigizaji

Eva Jacqueline Longoria-Parker (amezaliwa tar. 15 Machi, 1975) ni mshindi wa tuzo ya Golden Globe-mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchi ya Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Gabrielle Solis aliloigiza kutoka katika tamthilia ya Desperate Housewives iliyokuwa inayorushwa hewani na televisheni ya ABC ya Marekani.

Maisha ya kibinafsi

Eva Longoria aliolewa na mwigizaji Tyler Christopher kutoka mwaka wa 2002 hadi 2004.[1] Longoria alikutana na Tony Parker mnamo Novemba 2004, na akaposwa mnamo Novemba 30, 2006.[2] Wawili hawa walioana mjini Paris mnamo Julai 6, 2007 katika sherehe ya Kikatholiki.[3]

Filamu

Television
Mwaka Jina la kipindi Aliigiza kama Maelezo
2004–
hadi sasa
Desperate Housewives Gabrielle Solis Mwigizaji Mkuu
Maigizo Mengine Madogo
Mwaka Kipindi Aliigiza kama Maelezo
2000 Beverly Hills, 90210 Mhudumu wa ndege #3 "I Will Be Your Father Figure" (Msimu wa 10, kipindi 19)
2000 General Hospital Brenda Barrett Lookalike "Kipindi cha tarehe 25 Septemba 2000"
2001–
2003
The Young and the Restless Isabella Braña Williams "Kipindi #1.7136"
"Kipindi #1.7142"
"Kipindi #1.7149"
"Kipindi #1.7261"
2003–
2004
Dragnet Det. Gloria Duran "Daddy's Girl" (Msimu 2, kipindi 1)
"Coyote" (Msimu 2, kipindi 2)
"17 in 6" (Msimu 2, kipindi 3)
"The Magic Bullet" (Msimu 2, kipindi 4)
"Slice of Life" (Msimu 2, kipindi 5)
"Abduction" (Msimu 2, kipindi 6)
"Frame of Mind" (Msimu 2, kipindi 7)
"Retribution" (Msimu 2, kipindi 8)
"Riddance" (Msimu 2, kipindi 9)
"Killing Fields" (Msimu 2, kipindi 10)
2006 George Lopez Brooke "George Vows to Make Some Matri-Money" (Msimu 5, kipindi 19)
2008 Children's Hospital The New Chief "Kipindi #1.10" (Msimu 2, kipindi 10)


Marejeo

  1. "Eva Longoria Biography". people.com. Iliwekwa mnamo 2008-06-13. 
  2. Alexander, Bryan. "Eva Longoria & Tony Parker Engaged", people.com, 2006-11-30. Retrieved on 2008-06-13. 
  3. Eva Longoria, Tony Parker Make It Official, Again, USA Today, July 7, 2007

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eva Longoria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.