Mpunga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: te:వరి
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: lbe:Ппиринж
Mstari 93: Mstari 93:
[[la:Oryza (victus)]]
[[la:Oryza (victus)]]
[[lad:Arroz]]
[[lad:Arroz]]
[[lbe:Ппиринж]]
[[lij:Riso]]
[[lij:Riso]]
[[ln:Lɔ́sɔ]]
[[ln:Lɔ́sɔ]]

Pitio la 00:47, 8 Desemba 2010

Mpunga
(Oryza spp.)
Mpunga wa kiasia
Mpunga wa kiasia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Mimea iliyo na mnasaba na nyasi)
Jenasi: Oryza
L.
Spishi: O. barthii A. Chev.

O. glaberrima Steud.
O. longistaminata Steud. & Roehr.
O. rufipogon Griff.
O. sativa L.
O. nivara S.D. Sharma & Shastry

Mpunga ni aina ya mimea katika familia ya manyasi (Poaceae). Spishi kadhaa zinapandwa katika sehemu mbalimbali za dunia, lakini mpunga wa kiasia ni ile ya kawaida. Punje za mpunga (mbegu zake) ni nafaka na huitwa mchele. Mchele uliopikwa ni wali.

Spishi

Picha