Wakatoliki wa Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d [r2.6.1] roboti Nyongeza: uk:Старокатолицизм
d r2.6.5) (roboti Badiliko: pt:Velha Igreja Católica
Mstari 31: Mstari 31:
[[no:Den gammelkatolske kirke]]
[[no:Den gammelkatolske kirke]]
[[pl:Starokatolicyzm]]
[[pl:Starokatolicyzm]]
[[pt:Vétero católica]]
[[pt:Velha Igreja Católica]]
[[ro:Biserica Vetero-Catolică]]
[[ro:Biserica Vetero-Catolică]]
[[ru:Старокатолицизм]]
[[ru:Старокатолицизм]]

Pitio la 01:06, 5 Desemba 2010

Wakatoliki wa Kale ni jina linalotumika kujumlisha Wakristo wa Magharibi ambao wametengana na Askofu wa Roma hasa baada ya Mtaguso wa kwanza wa Vatikano (1869-1870) kutangaza dogma ya Papa kutoweza kukosea anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.

Wakristo hao walijipatia Uaskofu halisi katika mlolongo wa Mitume kupitia Askofu wa Utrecht mwaka 1873, na baada ya hapo waliusambaza kwa madhehebu mengi.

Imani na liturujia zao zinafanana na zile za Kanisa Katoliki, lakini taratibu zimekwenda mbali.

Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "Umoja wa Utrecht" ulioanzishwa mwaka 1889.