James Morrison : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tr:James Morrison (aktör)
d kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Mstari 4: Mstari 4:
| jina la kuzaliwa = James Paige Morrison
| jina la kuzaliwa = James Paige Morrison
| tarehe ya kuzaliwa = {{Birth date and age|1954|4|21|df=yes}}
| tarehe ya kuzaliwa = {{Birth date and age|1954|4|21|df=yes}}
| mahala pa kuzaliwa = [[Bountiful,]] [[Utah|Utah]], [[Marekani]]
| mahala pa kuzaliwa = [[Bountiful,]] [[Utah]], [[Marekani]]
| ndoa = [http://us.vdc.imdb.com/name/nm0301734/ Riad Galayini]<br><small>(1995–hadi leo)</small>
| ndoa = [http://us.vdc.imdb.com/name/nm0301734/ Riad Galayini]<br><small>(1995–hadi leo)</small>
| tovuti = http://www.jpmorrison.com
| tovuti = http://www.jpmorrison.com
Mstari 32: Mstari 32:
* {{imdb|0607175}}
* {{imdb|0607175}}
* [http://www.jpmorrison.com Official Website]
* [http://www.jpmorrison.com Official Website]

{{mbegu-igiza-filamu-USA}}


{{DEFAULTSORT:Morrison, James}}
{{DEFAULTSORT:Morrison, James}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1954]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1954]]
[[Jamii:Watu Walio Hai]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani]]

{{mbegu-igiza-filamu-USA}}


[[ar:جيمس مورسن]]
[[ar:جيمس مورسن]]

Pitio la 12:11, 16 Novemba 2010

James Morrison
Amezaliwa James Paige Morrison
21 Aprili 1954 (1954-04-21) (umri 70)
Bountiful, Utah, Marekani
Ndoa Riad Galayini
(1995–hadi leo)
Tovuti rasmi

James Paige Morrison (amezaliwa tar. 21 Aprili, 1954) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Alizaliwa mjini Bountiful Utah, ni mtoto wa kiongozi wa maofisa,[1] na alikulia mjini Anchorage, Alaska, Marekani.

Katika vipindi vya TV, Morrison amepata kuonekana katika mfululizo wa Frasier, The X-Files, JAG, Murder She Wrote, The West Wing na Six Feet Under.

Hivi karibuni amepata kushika nafasi katika mfululizo wa TV wa 24. Humo alicheza kama Mkurugenzi wa CTU na alitumia jina la Bill Buchanan. Alianza kama nyota mgeni katikati ya msimu wa nne (2005), na akaja kuwa katika orodha ya wahusika wakuu katika msimu wa tano, sita, na saba (2006, 2007, 2009), hadi pale uhusika wake ulipokuja kuuawa.

Yeye na mkewe wanaishi mjini Los Angeles na mtoto wao wa kiume, Seamus, ambaye alizaliwa mnamo mwaka wa 1999.

Filamu/TV

  • Space: Above and Beyond (1995) kama Lt. Col. Tyrus Cassius "T.C." McQueen
  • Freedom (2000) kama Colonel Tim Devon
  • The One (2001) kama Officer Bobby Aldrich
  • Catch Me If You Can (2002) kama Kauzasura, Rubani wa Am
  • CSI: Miami (2003) kama Charles (sehemu ya 1 - "Grand Prix")
  • 24 (2005 - 2009) kama Bill Buchanan
  • Numb3rs (2007) kama Commander Chris Frederickson (sehemu ya 1 - "In Security")

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Morrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.