Tofauti kati ya marekesbisho "Ghostface Killah"

Jump to navigation Jump to search
24 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d
Bot: repairing outdated link allmusic.com
d (roboti Nyongeza: en:Ghostface Killah)
d (Bot: repairing outdated link allmusic.com)
}}
 
'''Dennis Coles''' (amezaliwa tar. [[9 Mei]], [[1970]])<ref>{{cite web|last=Erlewine|first=Stephen Thomas|title=Ghostface Killah - Biography|work=[[Allmusic]]|url=http://www.allmusic.com/cgartist/amg.dll?p=amg&searchlink=&sql=11:djfqxqegldfe~T1ghostface-killah-p194811|accessdate=2009-01-03}}</ref> ni msanii wa [[muziki wa hip hop]] kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Ghostface Killah'''. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la [[Wu-Tang Clan]]. Baada ya kundi kuambulia mafanikio yake makubwa kwa kutoa albamu yao ya kwanza iliyokwenda kwa jina la ''[[Enter the Wu-Tang (36 Chambers)]]'' , huyu bwana naye akaamua kujiendeleza mwenyewe akiwa kama msanii wa kujitegemea na kuweza kupata mafanikio kibao. Ghostface Killah akatoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la ''[[Ironman]]'', ambayo ilipokewa vyema sana na watathmini wa masuala ya muziki. Akaendeleza kazi yake, na kutengeneza albamu zake zilizojishindia tuzo kemekem. Albamu hizo ni pamoja na ''[[Supreme Clientele]]'', ''[[Fishscale]]'', na ''[[The Big Doe Rehab]]''.
 
Ghostface Killah ni maarufu mno<ref>{{cite web|url=http://www.allmusic.com/cgalbum/amg.dll?p=amg&sql=10:dvftxzehldkethe-big-doe-rehab-r1264351|title=The Big Doe Rehab: Review|author=Brown, Marisa|date=2007|publisher=Allmusic|accessdate=2009-08-06}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.stylusmagazine.com/reviews/ghostface-killah/more-fish.htm|title=More Fish|publisher=''[[Stylus Magazine]]''|date=2006-12-14|author=O'Donnell, Mallory|accessdate=2009-08-06}}</ref> kwa staili yake ya sauti kubwa, kuchana kwa haraka-haraka, na staili yake ya kuimba kama hataki huku akiwa anatia mbwembwe za maneno ya kitaa-kistori fulani ya kujitambua''.<ref name=newyorker>{{cite web|url=http://www.newyorker.com/archive/2006/03/20/060320crmu_music|title=Ghost's World|publisher=''[[The New Yorker]]''|author=Frere-Jones, Sasha|authorlink=Sasha Frere-Jones|date=2006-03-20|accessdate=2009-08-06}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.ew.com/ew/article/0,,1178775,00.html|title=Ghost' Writer|publisher=[[EW.com]]|author=Dombal, Ryan|date=2006-03-31|accessdate=2009-08-06}}</ref>
==Maisha ya awali==
Ghostface Killah amezaliwa na kukulia mjini [[Staten Island|Stapleton]] kwenye nyumba za miradi huko [[New York]]. Kwenye wimbo wake wa kujielezea mwenyewe wa "[[All That I Got Is You]]", Ghost anaelezea maisha yake ya utoto. Ana rap akielezea jinsi alivyokua kwenye mjengo wa vyumba vitatu vya kulalia bila baba yake, ambaye alimwacha tangu akiwa na umri wa miaka sita.

Urambazaji