Bradha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:A Francisan friar.jpg|thumb|right|230px|Bradha [[Wafransisko|Mfransisko]]]]
[[Image:A Francisan friar.jpg|thumb|right|230px|Bradha [[Wafransisko|Mfransisko]]]]


'''Bradha''' au '''bruda''' ni namna ya kutaja watawa wanaume Wakristo wasio makasisi. Maneno haya yamepokelewa katika [[Kiswahili]] kutoka [[Kiingereza]] "brother" au [[Kijerumani]] "Bruder".
'''Bradha''' au '''bruda''' ni namna ya kutaja [[watawa]] [[wanaume]] [[Wakristo]] wasio ma[[kasisi]]. Maneno haya yamepokelewa katika [[Kiswahili]] kutoka [[Kiingereza]] "brother" au [[Kijerumani]] "Bruder".


Hali ya kuwekwa [[wakfu]] kwa kuahidi utekelezaji wa [[mashauri ya Kiinjili]] ([[useja mtakatifu]], [[ufukara]], [[utiifu]])) inajitosheleza kama ilivyo kwa masista. Kwa kuwa lengo la [[utawa]] si kuongoza [[Kanisa]] kwa mamlaka inayotokana na [[daraja takatifu]] au kutoa huduma za kipadri, bali ni kulenga [[utakatifu]], yaani [[upendo]] kamili.
Hali yake ya kuwekwa [[wakfu]] kwa kuahidi utekelezaji wa [[mashauri ya Kiinjili]] (ambayo ni hasa matatu: [[useja mtakatifu]], [[ufukara]] na [[utiifu]]) inajitosheleza bila ya kuhitaji [[sakramenti]] maalumu.

Ni kama ilivyo kwa ma[[sista]] ambao katika [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi|makanisa ya Kiorthodoksi]] hawawezi kupewa [[upadrisho]].

Kwa kuwa lengo la [[utawa]] si kuongoza [[Kanisa]] kwa ile mamlaka inayotokana na [[Yesu]] na [[Mitume wa Yesu|mitume]] wake kupitia [[daraja takatifu]] wala kutoa huduma za kipadri, bali ni kulenga [[utakatifu]], yaani [[upendo]] kamili, kwa njia ya mkato.


[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Ukristo]]

Pitio la 13:57, 10 Novemba 2010

Bradha Mfransisko

Bradha au bruda ni namna ya kutaja watawa wanaume Wakristo wasio makasisi. Maneno haya yamepokelewa katika Kiswahili kutoka Kiingereza "brother" au Kijerumani "Bruder".

Hali yake ya kuwekwa wakfu kwa kuahidi utekelezaji wa mashauri ya Kiinjili (ambayo ni hasa matatu: useja mtakatifu, ufukara na utiifu) inajitosheleza bila ya kuhitaji sakramenti maalumu.

Ni kama ilivyo kwa masista ambao katika Kanisa Katoliki na makanisa ya Kiorthodoksi hawawezi kupewa upadrisho.

Kwa kuwa lengo la utawa si kuongoza Kanisa kwa ile mamlaka inayotokana na Yesu na mitume wake kupitia daraja takatifu wala kutoa huduma za kipadri, bali ni kulenga utakatifu, yaani upendo kamili, kwa njia ya mkato.