Barafuto : Tofauti kati ya masahihisho
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: stq:Glitsker; cosmetic changes |
d →Asili ya barafu ya barafuto: ainisha {{mbegu}} using AWB |
||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
[[Afrika]] ina barafuto ndogo kadhaa juu ya [[mlima Kilimanjaro]] na [[mlima Kenya]] lakini zinaelekea kupotea kutokana na uhaba wa mvua itakayobadilika kuwa theluji mpya. |
[[Afrika]] ina barafuto ndogo kadhaa juu ya [[mlima Kilimanjaro]] na [[mlima Kenya]] lakini zinaelekea kupotea kutokana na uhaba wa mvua itakayobadilika kuwa theluji mpya. |
||
{{mbegu}} |
{{mbegu-jio}} |
||
[[Jamii:Jiografia]] |
[[Jamii:Jiografia]] |
||
{{Link FA|tr}} |
{{Link FA|tr}} |
||
[[af:Gletser]] |
[[af:Gletser]] |
||
[[als:Gletscher]] |
[[als:Gletscher]] |
Pitio la 17:41, 4 Novemba 2010
Barafuto huitwa pia "mto wa barafu". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata uvutano kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.
Asili ya barafu ya barafuto
Barafuto zimetokana na theluji inayokaa miaka mingi bila kuyeyuka katika mazingira baridi. Theluji mpya inakaa juu ya theluji ya miaka iliyotangulia. Uzito wa theluji ya baadaye inakandamiza ile ya chini. Kutokana na shindikizo hili theluji ya chini hubadilika kuwa barafu kabisa.
Barafuto ni kati ya nguvu kubwa za mmomonyoko duniani.
Afrika ina barafuto ndogo kadhaa juu ya mlima Kilimanjaro na mlima Kenya lakini zinaelekea kupotea kutokana na uhaba wa mvua itakayobadilika kuwa theluji mpya.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|