Antoni Maria Claret : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'HISTORIA FUPI YA MTAKATIFU ANTON MARIA CLARET Anton Maria Claret alizaliwa huko Sallent, karibu na Barcelona (Catalonia) mnamo December 23, 1807, ni mtoto wa mten...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Antoni Maria Claret alizaliwa huko [[Sallent]], karibu na [[Barcelona]] (katika [[mkoa]] wa [[Catalonia]] nchini [[Hispania]]) tarehe [[23 Desemba]] [[1807]], akiwa mtoto wa mtengeneza [[sufu]].
HISTORIA FUPI YA MTAKATIFU ANTON MARIA CLARET


Alisoma [[shule]] katika [[kijiji]] chake, na alipotimiza miaka 12 akawa mfumaji.
Anton Maria Claret alizaliwa huko Sallent, karibu na Barcelona (Catalonia) mnamo December 23, 1807, ni mtoto wa mtengeneza sufi. Alisoma shule katika kijiji chake (native village), na alipotimiza miaka 12 akawa mfumaji. Baadaye alikwenda Barcelona kuwa mfanyabiashara, na alibaki huko hadi alipotimiza umri wa miaka 20. Hata hivyo, alitenga muda wake kujisomea na kujifunza Kilatini na Kifaransa.


Baadaye alikwenda Barcelona kufanya [[biashara]], akabaki huko hadi alipotimiza umri wa miaka 20. Hata hivyo, alitenga muda wake kujisomea na kujifunza [[Kilatini]] na [[Kifaransa]].
Baada ya kutambua wito wake Mtakatifu katika maisha yake ya dini, aliondoka Barcelona. Alitaka kuwa "Carthusian", lakini alijiunga na Seminay ya Vic, Spain, mwaka 1829, na alitawazwa daraja takatifu la Upadre mnamo June 13, 1835. Alipokea zawadi kutoka Parokia yake, ambako aliendelea kusoma teolojia hadi mwaka 1839; lakini kwa kuwa wito wa kimisionari ulizidi kuwa mkubwa alikwenda Roma. Huko alijiunga na shirika la Majesuit, lakini akaona hajalifurahia kwa maisha yalivyokuwa, hivyo alirudi muda mfupi tu Hispania (Spain) na alifanyakazi ya kichungaji huko Viladrau na Girona, akiwavutia wengi kwa juhudi zake kwa niaba (akiwatetea) ya maskini.


Baada ya kutambua [[wito]] wake mtakatifu katika maisha yake ya [[dini]], aliondoka Barcelona.
Aliitwa na wakubwa wake huko Vic, na kufanya kazi za kimisionari wakati wote akiwa Catalonia. Mnamo mwaka 1848, alipelekwa Visiwa vya Canary ambako alifanya mafungo kwa miezi 15. Alirudi tena Vic, na kuanzisha Shirika la kimisionari la Watoto wa Moyo Safi wa Maria (Congregation of the Missionary Sons of the Immaculate Heart of Mary) mnamo Julai 16, 1849. Pia alianzisha Maktaba kuu ya Barcelona iliyoitwa "Librería Religiosa" (na sasa inaitwa Librería Claret), na iliyoweza kutoa mamilioni ya nakala kwa kazi nzuri zilizofanywa na Kanisa Katoliki zamani.


Alitaka kuwa [[Mkartusi]], lakini alijiunga na [[Seminari]] ya [[Vic]] mwaka [[1829]], na alipewa [[daraja takatifu]] ya [[upadri]] tarehe [[13 Juni]] [[1835]]. Alipokea zawadi kutoka [[Parokia]] yake, ambako aliendelea kusoma [[teolojia]] hadi mwaka 1839; lakini kwa kuwa wito wa [[umisionari]] ulizidi kuwa mkubwa alikwenda [[Roma]] ([[Italia]]).
Kutokana na kazi yake nzuri, Baba Mtakatifu Papa Pius IX kutokana na maombi ya Malkia Isabella II wa Hispania (queen-regnant Isabella II of Spain) alimtawaza/ alimteua kuwa Askofu Mkuu wa Santiago, Cuba mwaka 1849. Alipofika huko, alianza kazi yake barabara ya mageuzi/ matengenezo katika Seminari ya Santiago, iliyobadilika na kuwa imara na yenye nidhamu. Kwa miaka yake miwili ya kwanza katika utumishi wake huko, zaidi ya ndoa 9,000 nyingi zikiwa za sheria za kimila zilihalalishwa chini ya utamaduni wa Kikatoliki. Alijenga hospitali na shule kadhaa. Katika matukio matatu tofauti, Claret alifanya ziara zenye mpangilio katika jimbo zima, ikiwemo misioni za wenyeji. Mapenzi kwa kazi yake njema kulizua upinzani na wasiopenda maendeleo wa wakati huo, kama ilivyokuwa imetokea kabla huko Uhispania. Si chini ya majribio 15 yalifanywa kwa maisha ya Claret; taya lake liliachanishwa wazi kutoka sikio hadi kidevu kwa kisu cha mauaji huko mashariki mwa jimbo/eneo kuu la Holguin.


Huko alijiunga na [[shirika la Yesu]] ([[Wajesuiti]]), lakini akaona hajalifurahia kwa maisha yalivyokuwa, hivyo alirudi muda mfupi tu Hispania na alifanya kazi ya [[uchungaji]] huko [[Viladrau]] na [[Girona]], akiwavutia wengi kwa juhudi zake za kutetea [[maskini]].
Mnamo Februari 1857, aliitwa kwa Malkia Isabella II wa Hispania, na alimfanya kuwa atakuwa akitubu kwake (who made him her confessor). Alipata ruhusa ya kutorudi Cuba tena na aliteuliwa kuwa anakwenda Trajanopolis. Kwa nyongeza alikuwa mshauri wa kiroho wa Malikia, na ndipo mvuto wake ulielekea zaidi katika kuwasaidia maskini na uenezaji wa mafunzo/ elimu (propagate learning); aliishi kwa umakini na uadilifu mkubwa na alilazimika kuwa na makazi ndani ya hospitali huko Italia (yaani wanamolelewa maskini wasiojiweza). Kwa miaka tisa (9) alikuwa mkuu wa seminari (rector) wa Escorial (Escorial monastic school) alikoanzisha maabara ya kisayansi, makumbusho (museum) ya vitu halisi vya kihistoria, maktaba, chuo, na shule za muziki na lugha. Malengo yake ya baadaye yaliharibiwa na Mapinduzi ya mwaka 1868, yaliyohitimisha/ yaliyotupilia mbali utawala wa Malkia Isabella II na hivyo kuanzishwa kwa Jamhuri ya Hispania.


Aliitwa na wakubwa wake huko Vic, na kufanya kazi za kimisionari wakati wote akiwa Catalonia.
Mnamo mwaka 1869, Claret alirudi tena Roma kuandaa Halmashauri ya Kwanza ya Vatikani (the First Vatican Council). Kutokana na afya yake kutokuwa nzuri, alikwenda Prades Ufaransa, ambako alikuwa bado akisumbuliwa na Wahispania maadaui zake; muda si mrefu baada ya kustaafu kutoka Cistercian abbey huko Fontfroide, Narbonne, kusini mwa Ufaransa, ambako alifariki dunia Oktoba 24, 1870 akiwa na umri wa miaka 63.


Mwaka [[1848]] alipelekwa [[Visiwa vya Canary]] ambako alifanya [[mafungo]] kwa miezi 15. Alirudi tena Vic, na kuanzisha [[Shirika la Kimisionari la Wana wa Moyo Safi wa Maria]] (Congregation of the Missionary Sons of the Immaculate Heart of Mary) tarehe [[16 Julai]] [[1849]]. Pia alianzisha [[Maktaba]] kuu ya Barcelona iliyoitwa "Librería Religiosa" (na sasa inaitwa Librería Claret), na iliyoweza kutoa mamilioni ya nakala kwa kazi nzuri zilizofanywa na [[Kanisa Katoliki]] zamani.
Imetayarishwa na kuletwa kwako na:

Jasson Charles Kalile
Kutokana na kazi yake nzuri na maombi ya [[Malkia]] [[Isabella II wa Hispania]], [[Papa Pius IX]] alimteua kuwa [[askofu mkuu]] wa [[Santiago]] ([[Cuba]]) mwaka [[1849]].
(E mail: jassonkalile@gmail.com, Simu: +255 754 380832)

KATIBU WA JUMUIYA NDOGONDOGO YA KIKRISTO YA MTAKATIFU ANTON MARIA CLARET,
Alipofika huko, alianza barabara kazi yake ya mageuzi/matengenezo katika Seminari ya Santiago, iliyobadilika na kuwa imara na yenye [[nidhamu]]. Kwa miaka miwili ya kwanza katika utumishi wake huko, zaidi ya [[ndoa]] 9,000, nyingi zikiwa za sheria za kimila, zilihalalishwa chini ya [[utaratibu]] wa Kikatoliki. Alijenga [[hospitali]] na shule kadhaa.
KIGANGO CHA MALAMBA MAWILI,

PAROKIA YA MBEZI LOUIS,
Katika matukio matatu tofauti, Claret alifanya ziara zenye mpangilio katika [[dayosisi|jimbo]] zima, zikiwemo [[misheni]] za wenyeji.
S.L.P 6813, DAR ES SALAAM.

JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM
Mapenzi kwa kazi yake njema kulizua upinzani na wasiopenda maendeleo wa wakati huo, kama ilivyokuwa imetokea awali huko Hispania. Si chini ya majaribio 15 yalifanywa dhidi ya [[uhai]] wa Claret; [[taya]] lake liliachanishwa wazi kutoka [[sikio]] hadi [[kidevu]] kwa [[kisu]] cha mauaji huko mashariki mwa jimbo/eneo kuu la [[Holguin]].

Mnamo Februari [[1857]], aliitwa na Malkia Isabella II wa Hispania, na kufanywa kuwa [[muungamishi]] wake. Alipata ruhusa ya kutorudi Cuba tena na aliteuliwa kwenda [[Trajanopolis]]. Kwa nyongeza alikuwa mshauri wa kiroho wa Malkia, na ndipo mvuto wake ulielekea zaidi katika kuwasaidia maskini na uenezaji wa [[elimu]]; aliishi kwa umakini na [[uadilifu]] mkubwa na alilazimika kuwa na makazi ndani ya hospitali huko Italia (yaani wanamolelewa maskini wasiojiweza).

Kwa miaka tisa alikuwa [[gombera]] wa seminari ya Escorial alikoanzisha [[maabara]] ya [[sayansi]], [[makumbusho]] (museum) ya vitu halisi vya kihistoria, maktaba, [[chuo]], na shule za [[muziki]] na [[lugha]].

Malengo yake ya baadaye yaliharibiwa na [[Mapinduzi]] ya mwaka [[1868]], yaliyotupilia mbali utawala wa Malkia Isabella II na hivyo kuanzisha [[Jamhuri ya Hispania]].

Mwaka [[1869]], Claret alirudi tena Roma kuandaa [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]]. Kutokana na [[afya]] yake kutokuwa nzuri, alikwenda [[Prades]] ([[Ufaransa]]), ambako alikuwa bado akisumbuliwa na Wahispania maadui wake; muda si mrefu baada ya kuacha [[abasia]] ya [[Wasitoo]] huko [[Fontfroide]], [[Narbonne]], kusini mwa Ufaransa, alifariki [[dunia]] tarehe [[24 Oktoba]] [[1870]] akiwa na umri wa miaka 63.

[[Jamii:Waliozaliwa 1807]]
[[Jamii:Waliofariki 1870]]
[[Jamii:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Watakatifu wa Hispania]]
[[Jamii:Watakatifu wa Cuba]]

Pitio la 14:17, 3 Novemba 2010

Antoni Maria Claret alizaliwa huko Sallent, karibu na Barcelona (katika mkoa wa Catalonia nchini Hispania) tarehe 23 Desemba 1807, akiwa mtoto wa mtengeneza sufu.

Alisoma shule katika kijiji chake, na alipotimiza miaka 12 akawa mfumaji.

Baadaye alikwenda Barcelona kufanya biashara, akabaki huko hadi alipotimiza umri wa miaka 20. Hata hivyo, alitenga muda wake kujisomea na kujifunza Kilatini na Kifaransa.

Baada ya kutambua wito wake mtakatifu katika maisha yake ya dini, aliondoka Barcelona.

Alitaka kuwa Mkartusi, lakini alijiunga na Seminari ya Vic mwaka 1829, na alipewa daraja takatifu ya upadri tarehe 13 Juni 1835. Alipokea zawadi kutoka Parokia yake, ambako aliendelea kusoma teolojia hadi mwaka 1839; lakini kwa kuwa wito wa umisionari ulizidi kuwa mkubwa alikwenda Roma (Italia).

Huko alijiunga na shirika la Yesu (Wajesuiti), lakini akaona hajalifurahia kwa maisha yalivyokuwa, hivyo alirudi muda mfupi tu Hispania na alifanya kazi ya uchungaji huko Viladrau na Girona, akiwavutia wengi kwa juhudi zake za kutetea maskini.

Aliitwa na wakubwa wake huko Vic, na kufanya kazi za kimisionari wakati wote akiwa Catalonia.

Mwaka 1848 alipelekwa Visiwa vya Canary ambako alifanya mafungo kwa miezi 15. Alirudi tena Vic, na kuanzisha Shirika la Kimisionari la Wana wa Moyo Safi wa Maria (Congregation of the Missionary Sons of the Immaculate Heart of Mary) tarehe 16 Julai 1849. Pia alianzisha Maktaba kuu ya Barcelona iliyoitwa "Librería Religiosa" (na sasa inaitwa Librería Claret), na iliyoweza kutoa mamilioni ya nakala kwa kazi nzuri zilizofanywa na Kanisa Katoliki zamani.

Kutokana na kazi yake nzuri na maombi ya Malkia Isabella II wa Hispania, Papa Pius IX alimteua kuwa askofu mkuu wa Santiago (Cuba) mwaka 1849.

Alipofika huko, alianza barabara kazi yake ya mageuzi/matengenezo katika Seminari ya Santiago, iliyobadilika na kuwa imara na yenye nidhamu. Kwa miaka miwili ya kwanza katika utumishi wake huko, zaidi ya ndoa 9,000, nyingi zikiwa za sheria za kimila, zilihalalishwa chini ya utaratibu wa Kikatoliki. Alijenga hospitali na shule kadhaa.

Katika matukio matatu tofauti, Claret alifanya ziara zenye mpangilio katika jimbo zima, zikiwemo misheni za wenyeji.

Mapenzi kwa kazi yake njema kulizua upinzani na wasiopenda maendeleo wa wakati huo, kama ilivyokuwa imetokea awali huko Hispania. Si chini ya majaribio 15 yalifanywa dhidi ya uhai wa Claret; taya lake liliachanishwa wazi kutoka sikio hadi kidevu kwa kisu cha mauaji huko mashariki mwa jimbo/eneo kuu la Holguin.

Mnamo Februari 1857, aliitwa na Malkia Isabella II wa Hispania, na kufanywa kuwa muungamishi wake. Alipata ruhusa ya kutorudi Cuba tena na aliteuliwa kwenda Trajanopolis. Kwa nyongeza alikuwa mshauri wa kiroho wa Malkia, na ndipo mvuto wake ulielekea zaidi katika kuwasaidia maskini na uenezaji wa elimu; aliishi kwa umakini na uadilifu mkubwa na alilazimika kuwa na makazi ndani ya hospitali huko Italia (yaani wanamolelewa maskini wasiojiweza).

Kwa miaka tisa alikuwa gombera wa seminari ya Escorial alikoanzisha maabara ya sayansi, makumbusho (museum) ya vitu halisi vya kihistoria, maktaba, chuo, na shule za muziki na lugha.

Malengo yake ya baadaye yaliharibiwa na Mapinduzi ya mwaka 1868, yaliyotupilia mbali utawala wa Malkia Isabella II na hivyo kuanzisha Jamhuri ya Hispania.

Mwaka 1869, Claret alirudi tena Roma kuandaa Mtaguso wa kwanza wa Vatikano. Kutokana na afya yake kutokuwa nzuri, alikwenda Prades (Ufaransa), ambako alikuwa bado akisumbuliwa na Wahispania maadui wake; muda si mrefu baada ya kuacha abasia ya Wasitoo huko Fontfroide, Narbonne, kusini mwa Ufaransa, alifariki dunia tarehe 24 Oktoba 1870 akiwa na umri wa miaka 63.