Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kigezo infobox settlement using AWB
d rekebisha kiungo cha takwimu using AWB
Mstari 20: Mstari 20:
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|200px|Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam]]
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|200px|Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam]]
[[Image:DarEsSalaam-KigamboniBeach.jpg|thumb|200px|Mapumziko Kigamboni ufukoni]]
[[Image:DarEsSalaam-KigamboniBeach.jpg|thumb|200px|Mapumziko Kigamboni ufukoni]]
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya Wilaya ya [[Temeke]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 36,701 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kinondoni.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya Wilaya ya [[Temeke]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 36,701 waishio humo.<ref>{{cite web|url=http://www.nbs.go.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=88:village-stat&Itemid=106|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>


Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbali mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.
Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbali mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.

Pitio la 08:34, 30 Oktoba 2010


Kata ya Kigamboni
Kata ya Kigamboni is located in Tanzania
Kata ya Kigamboni
Kata ya Kigamboni

Mahali pa Kigamboni katika Tanzania

Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E / -6.86889; 39.26111
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Temeke
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 36,701
Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam
Mapumziko Kigamboni ufukoni

Wilaya ya Kigamboni ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 36,701 waishio humo.[1]

Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la Dar es Salaam kwa maji ya Kurasini Creek. Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbali mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.

Kiasili sehemu hii ilikuwa kijiji cha wavuwi lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga nyumba na hoteli za kitalii zimeenea kwenye ufuko wa Bahari Hindi.

Marejeo

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka