Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:30-manasses-chronicle.jpg|thumb|right|300px|Mchoro wa mtaguso wa kwanza wa [[Konstantinopoli]].]]
[[Picha:30-manasses-chronicle.jpg|thumb|right|300px|Mchoro wa mtaguso wa kwanza wa [[Konstantinopoli]].]]


'''Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli''' ndio wa pili katika orodha ya [[mitaguso ya kiekumene]] ya [[Kanisa]] wakati wa [[babu wa Kanisa|mababu]].
'''Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli''' ndio wa pili katika orodha ya [[mitaguso ya kiekumene]] ya [[Kanisa]] wakati wa [[babu wa Kanisa|mababu]] wake.
Uliitishwa na [[kaisari]] [[Teodosius I]] ukafanyika [[Konstantinopoli]] mwaka [[381]].
Uliitishwa na [[kaisari]] [[Theodosius I]] ukafanyika [[Konstantinopoli]] mwaka [[381]].


Ma[[askofu]] 150 waliohudhuria walilaani aina mbalimbali za [[uzushi]], hasa ule wa [[Masedoni wa Konstantinopoli]] aliyekanusha [[umungu]] wa [[Roho Mtakatifu]], na kuthibitisha maamuzi ya [[mtaguso mkuu]] wa kwanza ([[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]]), uliofanyika mwaka [[325]].
Ma[[askofu]] 150 waliohudhuria walilaani aina mbalimbali za [[uzushi]], hasa ule wa [[Masedoni wa Konstantinopoli]] aliyekanusha [[umungu]] wa [[Roho Mtakatifu]], wakathibitisha maamuzi ya [[mtaguso mkuu]] wa kwanza ([[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]]), uliofanyika mwaka [[325]].


Hivyo walikiri kwamba Roho Mtakatifu pia, kama vile [[Yesu]] [[Mwana wa Mungu]], anachanga hali ileile ya [[Baba]].
Hivyo walikiri kwamba Roho Mtakatifu pia, kama vile [[Yesu]] [[Mwana wa Mungu]], anachanga [[dhati]] ileile ya [[Baba]].


Pamoja na hayo, walikamilisha [[kanuni ya imani ya Nisea]] ambayo kwa sababu hiyo inaitwa sasa [[kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli]] na ambayo inatumika sana hata leo katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]], hasa katika [[liturujia]].
Pamoja na hayo, walikamilisha [[kanuni ya imani ya Nisea]] ambayo kwa sababu hiyo inaitwa sasa [[kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli]] na ambayo inatumika sana hata leo katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]], hasa katika [[liturujia]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.newadvent.org/cathen/04308a.htm First Council of Constantinople katika [[Catholic Encyclopedia]]]
*[http://www.newadvent.org/cathen/04308a.htm Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli katika [[Catholic Encyclopedia]]]


[[Category:Mitaguso]]
[[Category:Mitaguso]]
[[Jamii:Istanbul]]


[[ar:مجمع القسطنطينية الأول]]
[[ar:مجمع القسطنطينية الأول]]

Pitio la 14:41, 27 Oktoba 2010

Mchoro wa mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli.

Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ndio wa pili katika orodha ya mitaguso ya kiekumene ya Kanisa wakati wa mababu wake. Uliitishwa na kaisari Theodosius I ukafanyika Konstantinopoli mwaka 381.

Maaskofu 150 waliohudhuria walilaani aina mbalimbali za uzushi, hasa ule wa Masedoni wa Konstantinopoli aliyekanusha umungu wa Roho Mtakatifu, wakathibitisha maamuzi ya mtaguso mkuu wa kwanza (Mtaguso wa kwanza wa Nisea), uliofanyika mwaka 325.

Hivyo walikiri kwamba Roho Mtakatifu pia, kama vile Yesu Mwana wa Mungu, anachanga dhati ileile ya Baba.

Pamoja na hayo, walikamilisha kanuni ya imani ya Nisea ambayo kwa sababu hiyo inaitwa sasa kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli na ambayo inatumika sana hata leo katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo, hasa katika liturujia.

Viungo vya nje