Walter Rudolf Hess : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: no:Walter Rudolf Hess
d roboti Nyongeza: oc:Walter Rudolf Hess
Mstari 27: Mstari 27:
[[nl:Walter Rudolf Hess]]
[[nl:Walter Rudolf Hess]]
[[no:Walter Rudolf Hess]]
[[no:Walter Rudolf Hess]]
[[oc:Walter Rudolf Hess]]
[[pl:Walter Rudolf Hess]]
[[pl:Walter Rudolf Hess]]
[[pnb:والٹر روڈلف ہیس]]
[[pnb:والٹر روڈلف ہیس]]

Pitio la 21:10, 3 Oktoba 2010

Walter Rudolf Hess

Walter Rudolf Hess (17 Machi, 188112 Agosti, 1973) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza neva za ubongo. Mwaka wa 1949, pamoja na Antonio Egas Moniz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter Rudolf Hess kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.