Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Sani Abacha; cosmetic changes
d roboti Nyongeza: ko:사니 아바차
Mstari 34: Mstari 34:
[[io:Sani Abacha]]
[[io:Sani Abacha]]
[[ja:サニ・アバチャ]]
[[ja:サニ・アバチャ]]
[[ko:사니 아바차]]
[[mr:सानी अबाचा]]
[[mr:सानी अबाचा]]
[[ms:Sani Abacha]]
[[ms:Sani Abacha]]

Pitio la 14:07, 26 Septemba 2010

Jenerali Sani Abacha (20 Septemba, 19438 Juni, 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria, pia alikuwa mwanasiasa. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi ya Nigeria.

Maisha

Abacha alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943.

Urais

Abacha alitanguliwa na Rais Ernest Shonekan.
Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka Abdulsalami Abubakar aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sani Abacha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.