Mahakama ya Kimataifa ya Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 50: Mstari 50:
[[mk:Меѓународен кривичен суд]]
[[mk:Меѓународен кривичен суд]]
[[ml:അന്തർദേശീയ ക്രിമിനൽ കോടതി]]
[[ml:അന്തർദേശീയ ക്രിമിനൽ കോടതി]]
[[mn:Олон Улсын Эрүүгийн Шүүх]]
[[mr:आंतरराष्ट्रीय गुन्हेगारी न्यायालय]]
[[mr:आंतरराष्ट्रीय गुन्हेगारी न्यायालय]]
[[ms:Mahkamah Jenayah Antarabangsa]]
[[ms:Mahkamah Jenayah Antarabangsa]]

Pitio la 18:37, 19 Septemba 2010

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (Kifaransa: Cour Pénale Internationale; ambayo kawaida hujulikana kama ICC au ICCt ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa mauaji ya kimbari, hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi)

Mahakama haya yaliundwa mnamo tarehe Mosi Julai, mwaka wa 2000 - tarehe ambapo Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ulipata nguvu za kisheria.

Kufikia mwaka wa 2010, nchi 110 ni wanachama wa mahakama hayo, na nchi zingine 38 zimetia sahini lakini hazijapitisha kisheria Mkataba wa Roma. Hata hivyo, mataifa mengi, ikiwemo Uchina, Uhindi, Urusi na Marekani zinazidi kuyakosoa mahakama hayo na hazijajiunga nayo.


Wikimedia Commons ina media kuhusu: