Robben Island : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eu:Robben Uhartea
d roboti Nyongeza: yo:Erékùṣù Robben
Mstari 44: Mstari 44:
[[sv:Robben Island]]
[[sv:Robben Island]]
[[th:เกาะร็อบเบิน]]
[[th:เกาะร็อบเบิน]]
[[yo:Erékùṣù Robben]]
[[zh:羅本島]]
[[zh:羅本島]]

Pitio la 18:41, 18 Septemba 2010

Majengo ya gereza la Robben Island. Mlima wa Meza nyuma
Robben Island inavyoonekana kutoka Mlima wa Meza

Robben Island ni kisiwa kidogo 12 km mbele ya mji wa Cape Town (Afrika Kusini) katika Atlantiki. Kisiwa kina eneo la hektari 547, urefu ni 4.5 km na upana hadi 1.5 km.

Kisiwa kimejulikana kutokana na gereza lake na mfungwa mashuhuri Nelson Mandela. Wafungwa pamoja naye walikuwa Walter Sisulu, Govan Mbeki na Robert Sobukwe.

Siku hizi kisiwa ni makumbusho na hifadhi la kimazingira. Watimishi wanaoongoza wageni ni wafungwa wa zamani. Kipo kwenye orodha ya UNESCO ya Urithi wa Dunia.


Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Robben Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


]]]ben]]