Wikipedia:Msimamo wa kutopendelea upande : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
Mstari 55: Mstari 55:
# Kinyume chake inawezakana kuandika "Juma amepata medali nyingi katika historia ya michezo ya Kenya" maana hii ni habari halisi inayoweza kuthebitishwa au kupingwa.
# Kinyume chake inawezakana kuandika "Juma amepata medali nyingi katika historia ya michezo ya Kenya" maana hii ni habari halisi inayoweza kuthebitishwa au kupingwa.
# Wakati mwingine inawezakana kuandika "Juma anatazamiwa na Wakenya wengi kama mwanamichezo bora wa nchi" kama uthebitisho fulani unapatikana; kwa mfano kura ya maoni ya gazeti fulani inayotajwa kama chanzo kwenye maelezo chini ya makala; au "Juma ametajwa na rais wa nchi kama mwanamichezo bora..." ambayo inahitaji pia dondoo kama chanzo.
# Wakati mwingine inawezakana kuandika "Juma anatazamiwa na Wakenya wengi kama mwanamichezo bora wa nchi" kama uthebitisho fulani unapatikana; kwa mfano kura ya maoni ya gazeti fulani inayotajwa kama chanzo kwenye maelezo chini ya makala; au "Juma ametajwa na rais wa nchi kama mwanamichezo bora..." ambayo inahitaji pia dondoo kama chanzo.

==Vigezo==
{{tazama pia|:Jamii:Vigezo vya masahihisho ya makala}}

Haya ni kigezo {{tl|Upendeleo}} :

{{Upendeleo}}

With parameters it may look like this:

<nowiki>{{Upendeleo|date=Septemba 2010}}</nowiki>

Haya ni kigezo {{tl|POV}} :

{{POV}}

With parameters it may look like this:

<nowiki>{{POV|date=Septemba 2010}}</nowiki>




[[Jamii: Mwongozo wa Wikipedia]]
[[Jamii: Mwongozo wa Wikipedia]]

Pitio la 18:24, 17 Septemba 2010

Msimamo wa kutopendelea upande ni sheria ya kimsingi kwa watu wote wanaochangia humo kuandika au kusahihisha makala.

Maana yake ni wakati wa kutunga makala wandishi hatakiwi kuonyesha ya kwamba wanapenda au kutopenda kichwa cha makala yake. Hapo inasaidia kuangalia kama kuna hoja juu ya kichwa zinazokubaliwa na watu wengi na pia na wataalamu.

Tuanze kwenye hoja zinazokubaliwa na wengi

Ni muhimu kuonyesha yale ambako wengi sana wanaweza kukubaliana na kutaja baadaye yale ambako watu hutofautiana. Pale ambako mawazo ya kitaalamu yanatofautiana makala haitakiwi kuchukua upande lakini kuonyesha sifa na kasoro za kila upande. Lakini kwa kawaida tofauti hizi zisiwe mkazo wa makala.

Wakati mwingine ni rahisi kutopendelea upande lakini wakati mwingine ni vigumu. Mara nyingi inasaidia kupeleleza mawazo ya kitaalamu na kuonyesha vyanzo kwa ajili mawazo yale ya kitaalamu.

Mapatano ya wengi hayana uhakika ya ukweli

Kukubaliana na watu wengi hakuondoi matatizo yote. Inatokea ya kwamba wwatu wengi sana hukubaliana kuamini habari isiyo kweli. Mapatano si lazima kuwa ukweli. Hapa ni sharti kupeleleza habari halisi na kutafuta vyanzo.

Hapa kwenye wikipedia ya Kiswahili tutaangalia mara nyingi yale yaliyoandikwa katika wikipedia ya Kiingereza. Lakini si lazima ya kwamba yale yaliyo kule ni "ukweli" au habari halisi.

Sahihisho mfululizo

Kuhusu hizi mada gumu wikipeda ina faida ya kuwa kamusi iliyo wazi inayoweza kusahihishwa tena na tena.


Mfano wa hoja zisizopatana na kutafuta msimamo wa kutopendelea

Watu wakijadiliana habari za viongozi, wanasiasa au pia dini n.k. wanaweza kutofautiana juu ya mengi.

Mfano wa mfalme XYZ

Mfano: Mfalme XYZ. Wengine watasema alikuwa mtu mbaya aliyeanzisha vita na kuua watu wengi. Wengine wanaweza kumwona kama mfalme bora aliyejitahidi kutunza amani lakini alilazimishwa na maadui kujitetea. Kwa hiyo upande mmoja wanamkumbuka kuwa mfalme mwema lakini wengine wanamwita mfalme mbaya.

Kukusanya habari halisi zinazokubaliwa na karibu wote

Lakini hata hivyo pande zote mbili wanaweza kupatana juu ya habari halisi kama vile:

  1. alizaliwa mwaka 1910
  2. Wazazi wake waliitwa ABC na KLM
  3. alitawala nchi ya DEF.
  4. aliongoza nchi yake katika vita muhimu ya 1932 - 1935
  5. alikufa kutokana na ajali ya gari lake.

Kama karibu watu wote hukubaliana juu ya habari hizi basi tumeshapata msingi wa kutunga makala kufuatana na msimamo wa kutopendelea.

Kutaja habari zake zisizokubaliwa na wote

Baadaye tunaweza kuongeza habari zake zisizokubaliwa na wote, kwa mfano:

  1. alisifiwa mara nyingi kwa sababu aliamuru kujengwa kwa majengo mazuri katika mji mkuu anakumbukwa kama mjenzi mkuu wa taifa. Lakini wengine wanadai eti mipango yote yalianzishwa tayari wakati wa babake aliyemtangulia na mbunifu wa baba aliwajibika kwa uzuri wa kazi.
  1. wataalamu wa magharibi ya nchi husema alijenga umoja wa taifa na kusambaza lugha ya kitaifa. Lakini wataalamu wa mashariki wa nchi husema ya kwamba aikandamiza vikali utamaduni wa sehemu ile pamoja na wasemaji wa lugha ya mashariki na kuwaua wengi walijaribu kuwafundisha watoto wao.
  1. watalaamu watetezi wake wanasema alifaulu kutetea taifa dhidi ya tishio la nchi jirani kwa njia ya vita; lakini wengine wamegundua nyaraka zake inapoonekana ya kwamba alipanga kwa siri kushambulia nchi jirani akalipa wanasiasa wa huko kutamka tishio dhidi ya nchi yake

Kama una wasiwasi juu ya makala kama ina mwelekeo wa upande moja unaweza kutaja sababu zako kwenye ukurasa wa majadiliano na kubandika maandishi ya {{upendeleo}} juu ya makala. Baadaye sanduku itaonekana juu ya ukurasa wa makala husika inayosema ya kwamba Mwanawikipedia anadhani ya kwamba
makala hii hailingani na msimamo wa kutopendelea upande. Swali hili laweza kujadiliwa kwenye ukurasa wa majadiliano.

Hapa watumiaji wengine wataangalia makala hii hasa na kuchangia kwenye swali linalijadiliwa.

Kutofautisha mawazo na habari halisi

Bwana Juma ni mwanamichezo maarufu anapendwa na wengi pia na wanawikipedia.

  1. Si sawa kuandika "Juma ni mwanamichezo bora nchini Kenya". Hii ni mawazo tu na msomaji haiwezi kujua eti kipimo cha ubora ni nini.
  2. Kinyume chake inawezakana kuandika "Juma amepata medali nyingi katika historia ya michezo ya Kenya" maana hii ni habari halisi inayoweza kuthebitishwa au kupingwa.
  3. Wakati mwingine inawezakana kuandika "Juma anatazamiwa na Wakenya wengi kama mwanamichezo bora wa nchi" kama uthebitisho fulani unapatikana; kwa mfano kura ya maoni ya gazeti fulani inayotajwa kama chanzo kwenye maelezo chini ya makala; au "Juma ametajwa na rais wa nchi kama mwanamichezo bora..." ambayo inahitaji pia dondoo kama chanzo.

Vigezo

Haya ni kigezo {{Upendeleo}} :


With parameters it may look like this:

{{Upendeleo|date=Septemba 2010}}

Haya ni kigezo {{POV}} :


With parameters it may look like this:

{{POV|date=Septemba 2010}}