Kimeng'enya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: az:Fermentlər
d roboti Nyongeza: pnb:انزائم
Mstari 76: Mstari 76:
[[pam:Enzyme]]
[[pam:Enzyme]]
[[pl:Enzymy]]
[[pl:Enzymy]]
[[pnb:انزائم]]
[[ps:انزايم]]
[[ps:انزايم]]
[[pt:Enzima]]
[[pt:Enzima]]

Pitio la 22:26, 9 Septemba 2010

Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM

Kimeng'enya ni molekuli za pekee za protini zinazojengwa na mwili na kazi chake ni kichocheo cha kikemia mwilini. Kichocheo kinaharakisha mmenyuko wa kikemia. Kwa hiyo vimeng'enya vinasaidia kazi za mwilini kama mmeng'enyo wa chakula.

Mfano wake ni kimeng'enya cha amylasi kinachopatikana katika mate mdomoni. Inavunja molekuli za wanga kuwa molekuli ndogo zaidi. Hizi molekuli ndogo zaidi zinaendedela kuvukwa tumboni laki i kazi ya tumbe imesharahisishwa kutokana na kimeng'enya katika mate.

Kuna pia vimeng'emya nje ya mmeng'enyo tumboni vina kazi kote mwilini ndani ya seli kwa mfano vinaendesha kunakiliwa kwa DNA wakati wa kuzaa.

Vimeng'enya vimepata kazi pia katika teknolojia. Vinatiwa katika sabuni ya kuosha nguo na kuharakisha kuondolewa kwa mafuta au damu.


Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeng'enya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.