Wapangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
mpangilio
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], wilaya ya [[Ludewa]], [[Mkoa wa Iringa]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000.chakula chao ni ugali wa mahindi,ulezi na mtama kidogo .Kitoweo cha vyakula hivyo ni maharage,samaki,nyama na jamii ya mboga mboga.kinywaji chao ni pombe(ukhimbi)yaani kangala,komoni,ulanzi ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi.hulima mazao mbalimbali katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya mito.ni wafugaji wa ng'ombe ,mbuzi,kondoo na nguruwe(kitimoto).pia hulima mazao ya biashara kama kahawa,chai,pareto,mahindi[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=pbr]. Lugha yao ni [[Kipangwa]].
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], wilaya ya [[Ludewa]], [[Mkoa wa Iringa]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000.
Chakula chao ni ugali wa mahindi, ulezi na mtama kidogo. Kitoweo cha vyakula hivyo ni maharage, samaki, nyama na jamii ya mboga mboga. Kinywaji chao ni pombe (ukhimbi) yaani kangala, komoni, ulanzi ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi.
Hulima mazao mbalimbali katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya mito. Ni wafugaji wa ng'ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe (kitimoto). Pia hulima mazao ya biashara kama kahawa, chai, pareto, mahindi.
Lugha yao ni [[Kipangwa]].

==Viungo vya Nje==
[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=pbr Ethnologue]

{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 20:45, 6 Mei 2007

Wapangwa ni kabila kutoka Milima Livingstone karibu na pwani ya mashariki ya Ziwa Nyasa, wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Iringa, kusini ya nchi ya Tanzania. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000.

Chakula chao ni ugali wa mahindi, ulezi na mtama kidogo. Kitoweo cha vyakula hivyo ni maharage, samaki, nyama na jamii ya mboga mboga. Kinywaji chao ni pombe (ukhimbi) yaani kangala, komoni, ulanzi ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi.

Hulima mazao mbalimbali katika maeneo ya miinuko na mabondeni kandokando ya mito. Ni wafugaji wa ng'ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe (kitimoto). Pia hulima mazao ya biashara kama kahawa, chai, pareto, mahindi.

Lugha yao ni Kipangwa.

Viungo vya Nje

Ethnologue