Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: am:ዮሐንስ ፬ኛ
Mstari 23: Mstari 23:
[[mr:योहानेस चौथा, इथियोपिया]]
[[mr:योहानेस चौथा, इथियोपिया]]
[[pl:Jan IV Kassa]]
[[pl:Jan IV Kassa]]
[[ro:Yohannes al IV-lea al Etiopiei]]
[[ru:Йоханныс IV]]
[[ru:Йоханныс IV]]
[[sk:Johannes IV.]]
[[sk:Johannes IV.]]

Pitio la 21:18, 31 Agosti 2010

Yohane IV

Yohannes IV (* 1831 kwa jina la Dejazmach Kassay; † 10 Machi 1889 Metemma, Sudan) alikuwa Ras wa Tigray na Kaisari wa Ethiopia kati ya 18721889. Alimfuata Tewodros II akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

1876 aliweza kuzuia mashambulio ya Misri dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika mapigano ya Metemna dhidi ya jeshi la Mahdi tar. 10 Machi 1889. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye Omdurman.


Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA