Wamaroni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sq:Maronitët
Mstari 17: Mstari 17:
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Ukristo]]


[[ar:الكنيسة المارونية]]
[[ar:كنيسة مارونية]]
[[arc:ܡܪܘܢܝܐ]]
[[arc:ܡܪܘܢܝܐ]]
[[bg:Маронити]]
[[bg:Маронити]]

Pitio la 16:50, 31 Agosti 2010

Kanisa kuu la Kimaroni la Alep.

Kanisa la Wamaroni ni Kanisa sui iuris (yaani la kujitegemea) ndani ya Kanisa Katoliki.

Linafuata mapokeo maalumu ya mashariki yenye mzizi katika Ukristo wa lugha na utamaduni wa Kiaramu uliokuwa na makao makuu Antiokia ya Syria.

Linatunza liturujia, teolojia na maisha ya kiroho ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na Maroni, mwanzilishi wa monasteri maarufu katika karne ya 4.

Patriarki wake anachaguliwa na Sinodi ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba Papa wa Roma ushirika kamili. Anaishi Bkerke (Lebanoni), ambapo ana jimbo lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.

Huko Lebanoni, ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.


Viungo vya nje