Kilomita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: os:Километр; cosmetic changes
d roboti Badiliko: vec:Chiłòmetro
Mstari 88: Mstari 88:
[[ur:کلومیٹر]]
[[ur:کلومیٹر]]
[[uz:Kilometr]]
[[uz:Kilometr]]
[[vec:Km]]
[[vec:Chiłòmetro]]
[[vi:Kilômét]]
[[vi:Kilômét]]
[[zh:千米]]
[[zh:千米]]

Pitio la 23:54, 27 Agosti 2010

Kilomita ni kipimo cha urefu. Kinamaanisha urefu wa mita 1,000. Kifupi chake ni km.

Kilomita ni kipimo cha umbali cha kawaida katika maisha ya kila siku cha kupimia umbali usio karibu. Umbali kati ya miji hupimwa kwa kilomita.

Kilomita ni sehemu ya vipimo vya SI vyenye msingi wa mita.

Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama maili au verst.

Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya falaki kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya mwezi na dunia inaweza kutajwa kwa kilomita ni lakhi tatu au 300,000 km. Lakini umbali kutoka jua letu hadi nyota ya jirani Alpha Centauri ni mbali mno. Hapa kipimo cha mwaka wa nuru hutumiwa.