Albert Schweitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 5: Mstari 5:


{{DEFAULTSORT:Schweitzer, Albert}}
{{DEFAULTSORT:Schweitzer, Albert}}

[[Jamii:Waliozaliwa 1875]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1875]]
[[Jamii:Waliofariki 1965]]
[[Jamii:Waliofariki 1965]]

Pitio la 00:43, 26 Agosti 2010

Albert Schweitzer

Albert Schweitzer (14 Januari, 18754 Septemba, 1965) alikuwa mwanateolojia, mwanafalsafa, mwanamuziki na daktari kutoka eneo la Alsatia, ambalo lilikuwa sehemu ya Ujerumani kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, lakini la Ufaransa baadaye. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Amani kwa ajili ya falsafa yake. Hasa anajulikana kwa kuanzisha na kuongoza kituo cha kimisionari na hospitali eneo la Lambarene nchini Gabon.