Auguste Beernaert : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Auguste Marie Francois Beernaert |
d →Tazama pia: clean up using AWB |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
*[[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Ubelgiji]] |
*[[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Ubelgiji]] |
||
⚫ | |||
{{mbegu-mwanasiasa}} |
{{mbegu-mwanasiasa}} |
||
⚫ | |||
[[Jamii:Waliozaliwa 1829]] |
[[Jamii:Waliozaliwa 1829]] |
||
[[Jamii:Waliofariki 1912]] |
[[Jamii:Waliofariki 1912]] |
Pitio la 13:48, 25 Agosti 2010
Auguste Marie Francois Beernaert (26 Julai, 1829 – 6 Oktoba, 1912) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa 1909, pamoja na Paul d’Estournelles alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.
Tazama pia
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Auguste Beernaert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |