Bernardino wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: id:Bernardino dari Siena
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Pintoricchio 019.jpg|right|thumb|250px|[[Pinturicchio]] (1486), ''Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena'', [[Roma]], kanisa la [[Santa Maria in Aracoeli]]]]
[[Picha:Pintoricchio 019.jpg|right|thumb|250px|[[Pinturicchio]] (1486), ''Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena'', [[Roma]], kanisa la [[Santa Maria in Aracoeli]]]]


'''Bernardino wa Siena''' ([[8 Septemba]], [[1380]] - [[20 Mei]], [[1444]]) alikuwa [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] na [[kasisi]] wa [[Kanisa Katoliki]].
'''Bernardino wa Siena''' ([[8 Septemba]], [[1380]] - [[20 Mei]], [[1444]]) alikuwa [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] na [[kasisi]] wa [[Kanisa Katoliki]].
Mstari 23: Mstari 23:
[[Jamii:Waliozaliwa 1380]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1380]]
[[Jamii:Waliofariki 1444]]
[[Jamii:Waliofariki 1444]]
[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Jamii:Watakatifu Wakristo]]
[[Jamii:Watu wa Italia]]
[[Jamii:Watu wa Italia]]
[[Category:Wafransisko]]
[[Jamii:Wafransisko]]


[[ca:Bernadí de Siena]]
[[ca:Bernadí de Siena]]

Pitio la 13:26, 25 Agosti 2010

Pinturicchio (1486), Utukufu wa Mt. Bernardino da Siena, Roma, kanisa la Santa Maria in Aracoeli

Bernardino wa Siena (8 Septemba, 1380 - 20 Mei, 1444) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na kasisi wa Kanisa Katoliki.

Maisha ya awali

Alizaliwa na kubatizwa Massa Marittima (Siena) tarehe 8 Septemba 1380 katika familia Albizzeschi kutoka Siena, ambako alihamia baada ya kubaki yatima, ili alelewe na ndugu zake na kusomeshwa.

Wito na utume

Akiwa na miaka 22, alijiunga na utawa, katika tawi la urekebisho wa Waobservanti, ambalo akawa nguzo yake kuu, pamoja na Yohane wa Kapestrano, Yakobo wa Marka na Alberto wa Sarteano.

Kisha akaanza utume mkubwa akihubiri kwa mafanikio katika Italia Kaskazini. Kazi yake yaliamsha katika Kanisa imani na ibada kwa Jina la Yesu na kurekebisha maadili ya wengi. Ndiye aliyesambaza kila mahali vibao vyenye kifupisho JHS (Jesus Hominum Salvator) kikiwa na msalaba juu yake na kuzungukwa na jua lenye miali 12.

Kifo

Alifariki huko L'Aquila, tarehe 20 Mei 1444.

Heshima baada ya kifo

Kutokana na sifa yake kubwa, alitangazwa mtakatifu na Papa Nikolasi V mwaka 1450. Kumbukumbu yake inaadhimishwa kila tarehe 20 Mei.