Utume : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
wikify
Mstari 1: Mstari 1:
Utume ni hali ya kusikia sauti ya rohoni na kuitika kutumika sawasawa na kusudio la Neno la Mpakwa Mafuta wa Mungu (Yesu Kristo). Ni wito wa kumtaka mtu kutumikia ufalme wa Mungu Muumbaji kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Ni fukuto la Kiroho zaidi ndani ya Roho ya mtu yenye kuigusa nafsi kutenda matendo ya Yesu Kristo kama alivyofanya wakati wa uhai wake akiwa na wanafunzi wake (Mitume). Aliwachagua na kuwatuma wawili wawili ama 12 na mara nyingine 72. Waliitika sauti wakaenda huku na huko na waliporejea walitoa taarifa ya kazi. Mfano "..hata pepo wametutii kwa jina lako (Yesu).". For he whom God hath sent speaketh the words of God: for God giveth not the Spirit by measure unto him. John 3:34](Benjamin Mwangwala)
'''Utume''' ni hali ya kusikia sauti ya rohoni na kuitika kutumika sawasawa na kusudio la Neno la Mpakwa Mafuta wa Mungu ([[Yesu Kristo]]). Ni wito wa kumtaka mtu kutumikia ufalme wa Mungu Muumbaji kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Ni fukuto la Kiroho zaidi ndani ya Roho ya mtu yenye kuigusa nafsi kutenda matendo ya Yesu Kristo kama alivyofanya wakati wa uhai wake akiwa na wanafunzi wake (Mitume). Aliwachagua na kuwatuma wawili wawili ama 12 na mara nyingine 72. Waliitika sauti wakaenda huku na huko na waliporejea walitoa taarifa ya kazi. Mfano
:"..hata pepo wametutii kwa jina lako (Yesu)." [[Kiing.]]: For he whom God hath sent speaketh the words of God: for God giveth not the Spirit by measure unto him. [[Mtume Yohane]] 3:34

[[Jamii:Dini]]

Pitio la 14:17, 24 Agosti 2010

Utume ni hali ya kusikia sauti ya rohoni na kuitika kutumika sawasawa na kusudio la Neno la Mpakwa Mafuta wa Mungu (Yesu Kristo). Ni wito wa kumtaka mtu kutumikia ufalme wa Mungu Muumbaji kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Ni fukuto la Kiroho zaidi ndani ya Roho ya mtu yenye kuigusa nafsi kutenda matendo ya Yesu Kristo kama alivyofanya wakati wa uhai wake akiwa na wanafunzi wake (Mitume). Aliwachagua na kuwatuma wawili wawili ama 12 na mara nyingine 72. Waliitika sauti wakaenda huku na huko na waliporejea walitoa taarifa ya kazi. Mfano

"..hata pepo wametutii kwa jina lako (Yesu)." Kiing.: For he whom God hath sent speaketh the words of God: for God giveth not the Spirit by measure unto him. Mtume Yohane 3:34