Fahrenheit : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: so:Faaranhaayt
d roboti Nyongeza: ka:ფარენჰეიტი; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Raumthermometer Fahrenheit+Celsius.jpg|thumb|300px|Thermomita inayoonyesha vizio vya Fahrenheit na Selsiasi wakati moja]]
[[Picha:Raumthermometer Fahrenheit+Celsius.jpg|thumb|300px|Thermomita inayoonyesha vizio vya Fahrenheit na Selsiasi wakati moja]]
'''Fahrenheit''' (kikamilifu '''vizio vya fahrenheit''') ni kipimo cha [[halijoto]]. Alama yake ni '''°F'''.
'''Fahrenheit''' (kikamilifu '''vizio vya fahrenheit''') ni kipimo cha [[halijoto]]. Alama yake ni '''°F'''.

Skeli ya fahrenheit ilibuniwa 1724 na mwanafizikia [[Ujerumani|Mjerumani]] [[Daniel Gabriel Fahrenheit]]. Ilikuwa skeli ya kupima halijoto iliyotumiwa sana duniani lakini wakati wa karne ya 20 skeli ya [[selsiasi]] ilichukua nafasi yake kwa sababu inalingana na [[vipimo sanifu vya kimataifa]]. Leo hii fahrenheit hutumiwa hasa [[Marekani]] na nchi chache nyingine kama [[Belize]].

Kwenye skeli ya fahrenheit scale kiwango cha kuganda kwa maji ni 32 °F na kiwango cha kuchemka kwa maji ni 212 °F. Kwa hiyo kuna vizio 180 kati ya halijoto ya maji kuganda na kuchemka.
Kwenye skeli ya fahrenheit scale kiwango cha kuganda kwa maji ni 32 °F na kiwango cha kuchemka kwa maji ni 212 °F. Kwa hiyo kuna vizio 180 kati ya halijoto ya maji kuganda na kuchemka.

==Mifano==
== Mifano ==
* Maji huganda kwa 32 °F na kuchemka kwa 212 °F.
* Maji huganda kwa 32 °F na kuchemka kwa 212 °F.
* Chumba kwa kawaida kinatakiwa kuwa na 70 °F.
* Chumba kwa kawaida kinatakiwa kuwa na 70 °F.
* Halijoto ya mwili wa kibinadamu uwa na 98.6°F.
* Halijoto ya mwili wa kibinadamu uwa na 98.6 °F.
* [[Sifuri halisi]] iko kwa –459.67 °F.
* [[Sifuri halisi]] iko kwa –459.67 °F.

==Tazama pia==
== Tazama pia ==
*[[Selsiasi]]
* [[Selsiasi]]
*[[Kelvini]]
* [[Kelvini]]

[[Jamii:Vipimo]]

[[Category:Vipimo]]

[[ar:فهرنهايت (وحدة قياس)]]
[[ar:فهرنهايت (وحدة قياس)]]
Mstari 46: Mstari 45:
[[it:Fahrenheit]]
[[it:Fahrenheit]]
[[ja:華氏]]
[[ja:華氏]]
[[ka:ფარენჰეიტი]]
[[ko:화씨]]
[[ko:화씨]]
[[ku:Farinhayt]]
[[ku:Farinhayt]]

Pitio la 21:20, 20 Agosti 2010

Thermomita inayoonyesha vizio vya Fahrenheit na Selsiasi wakati moja

Fahrenheit (kikamilifu vizio vya fahrenheit) ni kipimo cha halijoto. Alama yake ni °F.

Skeli ya fahrenheit ilibuniwa 1724 na mwanafizikia Mjerumani Daniel Gabriel Fahrenheit. Ilikuwa skeli ya kupima halijoto iliyotumiwa sana duniani lakini wakati wa karne ya 20 skeli ya selsiasi ilichukua nafasi yake kwa sababu inalingana na vipimo sanifu vya kimataifa. Leo hii fahrenheit hutumiwa hasa Marekani na nchi chache nyingine kama Belize.

Kwenye skeli ya fahrenheit scale kiwango cha kuganda kwa maji ni 32 °F na kiwango cha kuchemka kwa maji ni 212 °F. Kwa hiyo kuna vizio 180 kati ya halijoto ya maji kuganda na kuchemka.

Mifano

  • Maji huganda kwa 32 °F na kuchemka kwa 212 °F.
  • Chumba kwa kawaida kinatakiwa kuwa na 70 °F.
  • Halijoto ya mwili wa kibinadamu uwa na 98.6 °F.
  • Sifuri halisi iko kwa –459.67 °F.

Tazama pia