Maziwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: as:গাখীৰ
d roboti Nyongeza: ne:दुध; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Milk glass.jpg|thumb||Bilauri ya maziwa]]
[[Picha:Milk glass.jpg|thumb||Bilauri ya maziwa]]
[[Image:Kid feeding on mothers milk.jpg|thumb||Mwana mbuzi anakunywa maziwa]]
[[Picha:Kid feeding on mothers milk.jpg|thumb||Mwana mbuzi anakunywa maziwa]]


'''Maziwa''' ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa [[mamalia]] kama lishe kwa ajili ya watoto wao. Wanyama wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya maisha yao hadi kuzoea chakula cha kawaida.
'''Maziwa''' ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa [[mamalia]] kama lishe kwa ajili ya watoto wao. Wanyama wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya maisha yao hadi kuzoea chakula cha kawaida.
Mstari 15: Mstari 15:


Mafuta ya maziwa hutolewa mara nyingi kuwa [[krimu]] au [[siagi]].
Mafuta ya maziwa hutolewa mara nyingi kuwa [[krimu]] au [[siagi]].
<!-- interwiki -->


[[Jamii:Chakula]]

[[Jamii:Vinywaji]]


[[Category:Chakula]]
[[Category:Vinywaji]]

<!-- interwiki -->


{{Link FA|es}}
{{Link FA|es}}
Mstari 111: Mstari 107:
[[nds:Melk]]
[[nds:Melk]]
[[nds-nl:Melk]]
[[nds-nl:Melk]]
[[ne:दुध]]
[[new:दुरु]]
[[new:दुरु]]
[[nl:Melk (drank)]]
[[nl:Melk (drank)]]

Pitio la 21:40, 17 Agosti 2010

Bilauri ya maziwa
Mwana mbuzi anakunywa maziwa

Maziwa ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa mamalia kama lishe kwa ajili ya watoto wao. Wanyama wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya maisha yao hadi kuzoea chakula cha kawaida.

Nje ya lishe ya wanyama changa maziwa hutumiwa na wanadamu kama kinywaji na chakula. Watu hufuga wanyama wanaotoa maziwa hasa ng'ombe kwa kusudi la kukamua maziwa yao. Wanyama wengine wanaofugwa na kukamuliwa kwa maziwa yao ni mbuzi, kondoo na ngamia.

Wanyama wengine wanaotoa maziwa kwa matumizi ya kibinadamu ni pamoja na kondoo, mbuzi, ngamia, farasi, punda na nyati.

Maziwa hunyewa au kuungwa katika upishi wa chakula. Tatizo la matumizi ya maziwa ni ya kwamba yanabadilika haraka. Inakamuliwa pamoja na vidubini ndani yake na pia vidubini vilivyomo hewani hupenda kuingia ndani yake kwa sababu maziwa yana lishe nyinge. Vidubini hivi vinasababisha kuchachuka kwa maziwa; mara nyingi ladha inaweza kubadilika kwa njia isiyotakiwa.

Kwa hiyo maziwa yanayotolewa kwenye viwanda vya maziwa hupata upasteurishaji na hutunzwa kwenye baridi chini ya kiwango cha sentigredi 7. Katika mazingira asilia maziwa yaliyochachuka hunyewa au kama yameganda huliwa.

Katika nchi nyingi maziwa hugandishwa na kukaushwa kuwa jibini. Maziwa katika umbo la jibini hutunzwa muda mrefu ni chakula bora. Njia nyingine ya kutunza maziwa ni kuondoa maji ndani yake kabisa na kutunza unga la maziwa.

Mafuta ya maziwa hutolewa mara nyingi kuwa krimu au siagi.

Kigezo:Link FA