Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina]]
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina]]
'''Utawala wa Han''' (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ulifuata utawala wa [[Qin]], na ulitangulia Dola Tatu katika [[Uchina]]. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.
'''Nasaba ya Han''' (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ilifuata utawala wa [[nasaba ya Qin]], na ilitangulia Dola Tatu katika [[Uchina]]. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.


Watu wa [[Uchina]] huhesabu utawala wa Han uliodumu kwa mika mia nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia nzima ya Uchina. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya Uchina hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.
Watu wa [[China]] huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.


[[Jamii:Uchina]]
[[Jamii:Uchina]]

Pitio la 08:24, 17 Agosti 2010

Eneo la utawala wa Han katika Uchina

Nasaba ya Han (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ilifuata utawala wa nasaba ya Qin, na ilitangulia Dola Tatu katika Uchina. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.

Watu wa China huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA