Meningitis : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Менінгіт
d roboti Nyongeza: io:Meningito
Mstari 56: Mstari 56:
[[hu:Agyhártyagyulladás]]
[[hu:Agyhártyagyulladás]]
[[id:Meningitis]]
[[id:Meningitis]]
[[io:Meningito]]
[[is:Heilahimnubólga]]
[[is:Heilahimnubólga]]
[[it:Meningite]]
[[it:Meningite]]

Pitio la 19:34, 8 Agosti 2010

Meningitis ni uvimbi wa bongo.[1] Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, au bakteria au hata pia kutumia dawa fulani. Meningitis ni maradhi yanayoweza kuuwa kwa ajili ya kuwa uvimbe huu hufanyika karibu na bongo; kwa hivyo ugonjwa huu ni dharura umwone daktari.Dalili kuu za ugonjwa huu ni kuumwa na kichwa na shingo, pamoja na homa na kuchanganyikiwa kwa akili, kutapika na kutoweza kustahamili mwangaza na kelele.

Dalili

  • Kichwa kuuma sana
  • Kutokuwa na akili timamu, hii hutokea kwa takriban asilimia 44 ya wagonjwa.[2]
  • Kutoweza kustahamili mwangaza na kelele.
  • Uvimbe juu ya kichwa hufanyika kwa watoto wa umri wa chini ya miezi sita.
  • Dalili zingine zinazopatikana kwa watoto ni kuumwa kwa miguu, kuhisi baridi kali na ngozi kugeuka rangi.[3]
Mgonjwa mahututi wa Meningitis

Sababu

Kwa watoto wenye umri wa chini ya miezi mitatu, ugonjwa huu husababishwa na group B streptococcus. Wengine ambao hukaa kwenye matumbo ya binadamu ni kama Escherichia coli

Virusi

Virusi vinavyosababisha Meningitis ni kama enterovirus, herpes simplex virus type 2, varicella zoster virus, herpes zoster, mumps, HIV, na Lymphocytic choriomeningitis.

Meningitis pia huweza kusababishwa na kuenea kwa saratani hadi kwenye ubongo.[4]


Kukinga

Meningitis hukingwa kwa kutumia chanjo. Katika nchi nyingi, watoto wengi hupewa chanjo ya kuzuia Haemophilus influenzae ambayo huondoa bakteria hawa kwa miili ya watoto. Hata hivyo, chanjo hii ni ghali.

Chanjo ya Bacillus Calmette-Guérin imeonyesha kupunguza kiwango cha ugonjwa huu kuenea.

Dawa zinazotumika kuzuia ni kama rifampicin, ciprofloxacin au ceftriaxone.

Marejeo

  1. Sáez-Llorens X, McCracken GH (June 2003). "Bacterial meningitis in children". Lancet 361 (9375): 2139–48. PMID 12826449. doi:10.1016/S0140-6736(03)13693-8.  Check date values in: |date= (help)
  2. Attia J, Hatala R, Cook DJ, Wong JG (July 1999). "The rational clinical examination. Does this adult patient have acute meningitis?". JAMA 282 (2): 175–81. PMID 10411200. doi:10.1001/jama.282.2.175.  Check date values in: |date= (help)
  3. Theilen U, Wilson L, Wilson G, Beattie JO, Qureshi S, Simpson D (June 2008). "Management of invasive meningococcal disease in children and young people: Summary of SIGN guidelines". BMJ (Clinical research ed.) 336 (7657): 1367–70. PMC 2427067. PMID 18556318. doi:10.1136/bmj.a129.  Check date values in: |date= (help) Full guideline page
  4. Chamberlain MC (May 2005). "Neoplastic meningitis". Journal of Clinical Oncology: official journal of the American Society of Clinical Oncology 23 (15): 3605–13. PMID 15908671. doi:10.1200/JCO.2005.01.131.  Check date values in: |date= (help)