Milki ya Wamongolia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: la:Imperium Mongolicum
d roboti Nyongeza: da:Mongolske kejserdømme
Mstari 40: Mstari 40:
[[cs:Mongolská říše]]
[[cs:Mongolská říše]]
[[cy:Ymerodraeth y Mongol]]
[[cy:Ymerodraeth y Mongol]]
[[da:Mongolske kejserdømme]]
[[de:Mongolisches Reich]]
[[de:Mongolisches Reich]]
[[diq:İmparatoriya Moğoli]]
[[diq:İmparatoriya Moğoli]]

Pitio la 20:54, 4 Agosti 2010

Upanuzi wa Milki ya Mongolia

Miliki ya Mongolia lilikuwa eneo lililotawaliwa na Mongolia kuu (khans) kunako karne ya 13 na 14. Hili lilikuwa moja kati milki kubwa sana katika historia ya umiliki wa ardhi. Nyumbani halisi kwa Wamongolia, -likuwa imepakana na Milima ya Khingan kwa upnade wa mashariki, Milima Altai na Tian kwa upande wa magharibi, Mto Shilka na safu za milima na [Ziwa Baikal]] kwa upande wa kaskazini, na Ukuta Mkubwa wa China kwa upande wa kusini.

Milki hii ilianzishwa na Genghis Khan mnamo 1207 BK pale alipoyaleta pamoja makabila ya Mongolia. Akaja kufa mnamo 1227 BK. Baadaye Kublai Khan akaendeleza kupanua milki hii na akakuta Nasaba ya Yuan liotawaliwa na Wamongolia huko China. Baadaye ikaja-kupagalanyika katika milki tofauti, zote katika hizo ziliangamizwa.

Wakati nguvu ya milki za Wamongolia ilikuwa imepungua tayari Tamerlan (Timur) aliyetoka katika ukoo wa kimongolia uliopokea Uislamu aliunda milki mpya kati ya Uhindi ya magharibi, Asia ya Kati na Syria ya mashariki.

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milki ya Wamongolia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA