Tofauti kati ya marekesbisho "Teresa wa Mtoto Yesu"

Jump to navigation Jump to search
41 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: mt:Tereża ta' Lisieux; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: mt:Tereża ta' Lisieux; cosmetic changes)
Alifariki tarehe [[30 Septemba]], mnamo saa 19:20.
 
== Heshima baada ya kufa ==
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilipatikana [[miujiza]] iliyopatikana kwa maombezi yake.
 
Mwaka [[1925]] [[Papa Pius XI]] alimtangaza mtakatifu, na mwaka [[1997]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza mwalimu wa Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]] alioutoa kupitia maandishi yake, yaliyoenea upesi ajabu duniani kote.
 
== Tafsiri ya [[Kiswahili]] na ya [[Kihaya]] ==
THERESIA WA MTOTO YESU, Ua la Upendo, Maisha ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Aliyoyaandika Yeye Mwenyewe – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Paulines Publications Africa – Nairobi 1992 – ISBN 9966-21-021-0
THEREZA OW’OMWANA YEZU – Akamuli k’engonzi, Oburora bw’Omutakatifu Thereza Ow’omwana Yezu Obwo Yayehandikire Wenene – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Marianum Press Kisubi – Kisubi 1960
== Viungo vya nje ==
 
* [http://bibliotheque.editionsducerf.fr/par%20page/2653/TM.htm Maandishi yake yote kwa [[Kifaransa]]]
* [http://directory.google.com/Top/World/Fran%C3%A7ais/Soci%C3%A9t%C3%A9/Religion_et_spiritualit%C3%A9/Christianisme/Catholicisme/Saints/Sainte_Th%C3%A9r%C3%A8se_de_Lisieux/?il=1 Maandishi juu yake kwa [[Kifaransa]]]
* [http://www.carmel.asso.fr/-Therese-de-Lisieux-.html Kurasa juu ya Teresa wa Lisieux katika [[tovuti]] ya shirika lake]
== [[Filamu]] juu yake ==
 
* ''[[Beatification de la Bienheureuse soeur Thérèse de l'Enfant-Jésus]]'', ya [[Michel Coissac]] ([[1923]])
* ''[[La rose efeuillée]]'', ya [[George Pallu]] ([[1926]])
* ''[[La vie miraculeuse de Thérèse Martin]]'', ya [[Julien Duvivier]] ([[1929]])
* ''[[Thérèse Martin (film)|Thérèse Martin]]'', ya [[Maurice de Canonge]] ([[1939]])
* ''[[Procès au Vatican]]'', ya [[André Haguet]] ([[1951]])
* ''[[Le Vrai visage de Thérèse de Lisieux]]'' ya [[Philippe Agostini]] ([[1964]])
* ''[[Il processo di Santa Teresa del Bambin Gesù]]'', ya [[Vittorio Cottafavi]] ([[1967]])
* ''[[Thérèse]]'', ya [[Alain Cavalier]], ([[1986]]), "Prix du Jury" kwenye [[festival de Cannes]].
* ''[[Vous m'appellerez petite Thérèse]]'', ya [[Anne Foumier]] ([[1998]])
* ''[[Thérèse - The Story of Saint Thérèse]]'', ya [[Leonardo Defilippis]] ([[2003]])
 
== Picha zake ==
[[lt:Šv. Kūdikėlio Jėzaus Teresė]]
[[ml:കൊച്ചുത്രേസ്യ]]
[[mt:Tereża ta' Lisieux]]
[[nl:Theresia van Lisieux]]
[[pl:Teresa z Lisieux]]
43,992

edits

Urambazaji