Mkoa wa Mashariki (Zambia) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mahali pa mkoa wa Masharikii katika [[Zambia]] '''Mkoa wa Masharikii''' (''Eastern Province'') ni moja ya [[Mikoa ya Zambia|mik...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:11, 24 Julai 2010

Mahali pa mkoa wa Masharikii katika Zambia

Mkoa wa Masharikii (Eastern Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,306,173 kwenye eneo la 69,106 km². Mji mkuu ni Chipata.

Jiografia

Miji mikubwa ni pamoja na Chipata, Petauke na Lundazi.

Lunsemfwa na Luangwa ni mito muhimu zaidi.

Picha za Masharikii


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Mikoa ya Zambia
Bandera ya Zambia
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki
+/-