Sikukuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Ünnep
d roboti Nyongeza: ca:Dia festiu
Mstari 47: Mstari 47:
[[bg:Празник]]
[[bg:Празник]]
[[bs:Praznik]]
[[bs:Praznik]]
[[ca:Dia festiu]]
[[crh:Bayram]]
[[crh:Bayram]]
[[cs:Svátek]]
[[cs:Svátek]]

Pitio la 18:01, 22 Julai 2010

Sikukuu ni siku maalumu ya kukumbuka, kusheherekea au kufurahika jambo fulani.

Kuna sikukuu za binafsi na sikuu za umma. Sikukuu ya umma mara nyingi huwekwa wakfu kisheria maana yake si siku ya kazi bali ya mapumziko.

Kati ya sikuu za umma kuna sikukuu za kidini na sikukuu za kiserikali.

Kati ya sikukuu za binafsi kuna siku za kukumbuka matukio ya pekee kama tarehe ya kuzaliwa, kumbukumbu ya siku ya kufunga ndoa na mengine.

Sikukuu za Kidini

Sikukuu za kikristo

Sikukuu za Uislamu

Sikukuu za kiislamu hufuata kalenda ya Kiislamu. Kwa hiyo tarehe za sikukuu hizi katika kalenda ya Gregori hubadilikabadilika.

Sikukuu za Uhindu

  • Diwali pia "Deepavali" - mwezi wa Oktoba au Novemba

Sikuu za Serikali

Hutofautiana kati ya nchi na nchi lakini mara nyingi huwa na:

  • Mwaka Mpya
  • 1 Mei
  • sikukuu za kisiasa kama uhuru wa nchi, sikukuu ya kuzaliwa kwa mfalme au rais, kumbukumbukumbu ya mapinduzi n.k.