Tofauti kati ya marekesbisho "Haki za binadamu"

Jump to navigation Jump to search
128 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
''Kwa orodha za haki za binadamu angalia makala [[Tangazo kilimwengu la haki za binadamu]]''
 
'''Haki za binadamu''' ni wazo la kuwa kila mtu anastahili [[haki]] fulanikadhaa zisizotegemeasi walakwa kutegemea [[cheo]], wala [[taifa]], wala [[tabaka]], wala [[jinsia]], wala [[dini]] kwa sababu tu yeye amezaliwa kama mwanadamu[[binadamu]].
 
Haki hizi zimeorodheshwa hasa katika [[Tangazo kilimwengu la haki za binadamu]] lililotolewa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1948]]. Tamko la UM lilikuwa kamilisho la majadiliano kuhusu haki hizi yaliyoendelea kwa [[karne]] kadhaa.
 
Hoja la kimsingi ni kwamba, "Watu wote wamezaliwa huru,; [[hadhi]] na haki zao ni sawa. Wote wamejaliwa [[akili]] na [[dhamiri]], hivyo yapasayawapasa watendeane kindugu". (Kifungu 1 cha tangazo la 1948).
 
Mizizi ya haki hizihizo inapatikana katika [[falsafa]] na dini mbalimbali ya tangu kale, lakini ilikuwa wakati wa [[zama za mwangaza]] tangu [[karne ya 18]] ya kwamba haki hizi zilijadiliwa kwa undani pamoja na swali: ni matokeo gani kuwepo kwa haki hizi yanaleta kwa utaratibu wa [[siasa]], [[serikali]] na [[jamii]].
 
== Mfano wa haki za kimsingi ==
Haki za binadamu za kimsingi ni pamoja na:
 
* Kuishi
* Haki ya kuishi
* Haki ya kuchaguaKuchagua [[kazi]] - kutokuwa [[mtumwa]]
* Kuwa na [[mali]]
* Kutoa maoni yake kwa [[uhuru]]
* Uhuru wa kutamka maoni
* UsalamaKuwa salama, kutotishwa
* KingaKuwa na kinga dhidi ya hatua za kisheria, pamoja na nafasi ya kupinga kwa njia halali
* Kutokamatwa kwa kosa la mtu mwingine
* Kupewa nafasi ya kujitetekujitetea mbele ya [[mahakama]] ya kisheria
* Kutazamiwa kuwa bila ya hatia hadikabla mahakama imetoahaijatoa hukumu
* Kuwa na [[uraia]] wa [[nchi]] fulani
* Haki ya kupigaKupiga [[kura]] katika [[uchaguzi]] huru
* Kupewa kimbilio kama nchi asilia inazuia uhuru zawa kimsingimsingi
* Kuchagua dini na kuishi kufuatana na dini
* Nafasi ya kupingaKupinga pamoja na wengine maazimio ya serikali kwa njia ya [[amani]]
* Kupata [[elimu]]
* Elimu
* Haki ya kufungaKufunga [[ndoa]] na mtu mzima yeyote
 
Kwa mengine angalia makala juu ya tangazo kilimwengu la haki za binadamu.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.unhchr.ch/udhr/ Link to the Universal Declaration of Human Rights – inkatika ''many''[[lugha]] languagesnyingi]
 
=== Shirika zinazopigania haki za binadamu ===

Urambazaji