Chuo Kikuu cha Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 14: Mstari 14:
|staff = 300
|staff = 300
|campus = chimwaga hostel
|campus = chimwaga hostel
|tofuti = http://www.udom.ac.tz/
|tovuti = http://www.udom.ac.tz/
}}
}}



Pitio la 06:58, 16 Julai 2010

Chuo Kikuu cha Dodoma
University of Dodoma
WitoEmbracing Knowledge
Staff300
Wanafunzi12,000
MahaliDodoma, Tanzania
Tovutihttp://www.udom.ac.tz/


Chuo Kikuu cha Dodoma, ni chuo kikuu ambacho bado kinajengwa mjini Dodoma, Tanzania.


Ujenzi unafanyika katika kipande cha ardhi cha hekta 6,000 karibu na Dodoma kilomita 400 magharibi mwa mji wa Dar es Salaam.


Mafunzo yalianza mwaka 2007, wakati wanafunzi zaidi ya , walijiunga na programu zilizotolewa katika vyuo vya Humanities, Sayansi ya Ujamaa, Elimu na 'Informatics and Virtual Education'. Vyuo vya Sayansi ya Maisha na Afya na Sayansi zinazolingana zilianzihswa mwaka.


Sambamba na Maono ya Nchi ya Maendeleo ya 2025, Chuo Kikuu cha Dodoma, kikishamalizika kamili, kitaweza kuwachukua wanafunzi 40,000 katika taaluma mbali mbali. Hii ni zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa sasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hata hivyo, chuo kikuu cha Dodoma bado kiko katika maendeleo. [1]


Marejeo


Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.