Wilaya ya Busia, Kenya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 123: | Mstari 123: | ||
*[[Namboboto]], kijiji katika Wilaya ya Busia. |
*[[Namboboto]], kijiji katika Wilaya ya Busia. |
||
*[[Busia, Kenya]] |
|||
*[[Busia, Uganda]] |
|||
*[[Wilaya ya Busia, Uganda]] |
|||
== Viungo vya nje == |
== Viungo vya nje == |
Pitio la 08:02, 14 Julai 2010
Kwa maana nyingine, tazama Wilaya ya Busia.
"Busia District, Kenya" inaelekezwa hapa. Kwa Busia District, Uganda, tazama Busia District, Uganda.
Busia ni wilaya katika Mkoa wa Magharibi nchini Kenya. Inapakana na Wilaya ya Kakamega mashariki, Wilaya ya Bungoma kaskazini, Wilaya ya Busia, Uganda upande wa magharibi, na Ziwa Victoria upande wa kusini.
Shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara na nchi jirani ya Uganda, pamoja na mji wa Busia - makao makuu ya wilaya hii- kituo cha mpakani. Mbali na mji, uchumi wa wilaya hutegemea sana uvuvi na kilimo, mazao msingi yakiwemo pamoja na mihogo, mtama, viazi vitamu, maharagwe, na mahindi.
Wilaya ya Busia ni makao ya kabila la Waluhya nchini Kenya ambao wanapatikana hasa katika sehemu za Magharibi mwa Kenya.
Wilaya hii ina wakazi 370,608 (1999 sensa).
Mamlaka za Mitaa (Halmashauri) | |||
Mamlaka | Aina | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Busia | Manispaa | 44,766 | 30,777 |
Funyula | Manispaa | 18,043 | 1,242 |
Nambale | Mji | 26,168 | 1,005 |
Port Victoria | Mji | 18,472 | 5,917 |
Manispaa ya Busia | Manispaa | 263,159 | 5,516 |
Jumla | -- | 370,608 | 44,457 |
* 1999 census. Source: [1] |
Maeneo ya utawala | |||
Tarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Budalangi | 53,356 | 5,417 | |
Butula | 95,489 | 4,805 | Butula |
Funyula | 73,875 | 1,106 | Funyula |
Matayos | 56,186 | 0 | Matayos |
Nambale | 67,544 | 0 | Nambale |
Township | 25,158 | 15,695 | Busia |
Jumla | 370,608 | 27,022 | -- |
* 1999 census. Sources: [2], [3], |
Wilaya ya Busia ina maeneo bunge manne:
Tazama Pia
- Namboboto, kijiji katika Wilaya ya Busia.
- Busia, Kenya
- Busia, Uganda
- Wilaya ya Busia, Uganda
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Busia, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
0°26′N 34°9′E / 0.433°N 34.150°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Busia, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |