Rukia yaliyomo

Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

11 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
d (fr label)
No edit summary
[[Picha:Yohannes IV.jpg|thumb|250px|right|Yohane IV]]
'''Yohannes IV''' (* [[1831]] kwa jina la Dejazmach Kassay; † [[10 Machi]] [[1889]] Metemma, [[Sudan]]) alikuwa Ras wa [[Tigray]] na [[Kaisari]] wa [[Ethiopia]] kati ya [[1872]]–[[1889]]. Alimfuata [[Tewodros II]] akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia. <br /><br /> [[1876]] aliweza kuzuia mashambulio ya [[Misri]] dhidi ya Ethiopia. <br /> Aliuawa katika [[mapigano ya Metemna]] dhidi ya jeshi la [[Al-Dola la Mahdi|Mahdi]] tar. [[10 Machi]] [[1889]]. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye [[Omdurman]].
 
{{DEFAULTSORT:Yohane IV}}