Idris I wa Libya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: da:Idris 1. af Libyen
Mstari 16: Mstari 16:
[[bg:Идрис]]
[[bg:Идрис]]
[[ca:Idris I de Líbia]]
[[ca:Idris I de Líbia]]
[[da:Idris 1. af Libyen]]
[[de:Idris (Libyen)]]
[[de:Idris (Libyen)]]
[[en:Idris I of Libya]]
[[en:Idris I of Libya]]

Pitio la 22:52, 3 Julai 2010

Idris I wa Libya

Idris I (Kiarabu: إدريس الأول idris-al-auwwal) (*12 Machi 1890 - 25 Mei 1983) alikuwa mfalme kwanza wa Libya kati ya 1951 hadi 1969.

Jina lake la kiraia lilikuwa Muhamad Idris bin as-Sayyid ibn Muhamad as-Senussi (kiar.: محمد إدريس بن السيد المهدي ابن محمد السنوسي ). Alikuwa mjukuu wa Muhamad ibn Ali as-Senussi aliyeanzisha jumuiya ya Wasufi wa Senussi. Muhamad alirithi cheo cha babu yake. Alikubaliwa kama Emir wa Cyrenaika na Uingereza na Italia baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Baada ya Italia kuvamia Libya aliongoza vita ya porini.

Tangu 1951 aliongoza taifa jipya la Libya. 1969 alipinduliwa na wanajeshi chini ya uongozi wa Muammar al-Gaddafi. Alikufa Misri uhamishoni mwaka 1983.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: