Haramia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cv:Пиратсем
d roboti Nyongeza: br:Morlaer; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Pirate Flag of Rack Rackham.svg|thumb|250px|Bendera ya kihistoria ya maharamia Wazungu kwenye [[Atlantiki]] ]]
[[Picha:Pirate Flag of Rack Rackham.svg|thumb|250px|Bendera ya kihistoria ya maharamia Wazungu kwenye [[Atlantiki]] ]]
'''Haramia''' ni [[jambazi]] anayefanya mambo yake kwenye gimba la maji hasa [[bahari]]ni.
'''Haramia''' ni [[jambazi]] anayefanya mambo yake kwenye gimba la maji hasa [[bahari]]ni.

Mstari 10: Mstari 10:
Siku hizi eneo lenye uharamia mbaya ni [[Indonesia]] lakini ni hasa maharamia wa [[Somalia]] walioonekana sana katika habari tangu mwaka 2008.
Siku hizi eneo lenye uharamia mbaya ni [[Indonesia]] lakini ni hasa maharamia wa [[Somalia]] walioonekana sana katika habari tangu mwaka 2008.

Wakati mwingine maharamia walitawala pia maeneo ya mabandari walipokuwa na kimbilio chao kama [[dola-mji]]. Mfano mashuhuri wa madola haya madogo ilikuwa [[jamhuri ya Bou Regreg]] katika [[Moroko]] ya leo wakati wa karne za 17-19.

[[jamii:Uharamia]]
[[Jamii:Uharamia]]
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Sheria]]

Mstari 20: Mstari 20:
[[be:Пірацтва]]
[[be:Пірацтва]]
[[bg:Пиратство]]
[[bg:Пиратство]]
[[br:Morlaer]]
[[bs:Pirati]]
[[bs:Pirati]]
[[ca:Pirateria marítima]]
[[ca:Pirateria marítima]]

Pitio la 02:58, 2 Julai 2010

Bendera ya kihistoria ya maharamia Wazungu kwenye Atlantiki

Haramia ni jambazi anayefanya mambo yake kwenye gimba la maji hasa baharini.

Kufuatana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya sheria za bahari uharamia ni matendo ya jinai yoyote yanayotekelezwa baharini na mabaharia au maabiria wa meli binafsi dhidi ya meli nyingine au dhidi ya watu na mali ndani yake. Kisheria matendo ya aina hii dhidi ya ndege, mizigo au maabiria zake huitwa pia uharamia.

Katika historia maharamia wamejulikana tangu habari za kwanza juu ya usafiri kwenye bahari. Kati ya habari za kwanza ni zile kuhusu maharamia kwenye Mediteranea mnamo karne ya 13 KK.

Julius Caesar alipokuwa kijana alikamatwa na maharamia akaachichwa nao baada ya malipo ya ufidiwa mkubwa lakini baadaye akarudi akalipiza kisasi na kuwaua maharamia.

Siku hizi eneo lenye uharamia mbaya ni Indonesia lakini ni hasa maharamia wa Somalia walioonekana sana katika habari tangu mwaka 2008.

Wakati mwingine maharamia walitawala pia maeneo ya mabandari walipokuwa na kimbilio chao kama dola-mji. Mfano mashuhuri wa madola haya madogo ilikuwa jamhuri ya Bou Regreg katika Moroko ya leo wakati wa karne za 17-19.