Tofauti kati ya marekesbisho "Luangwa (mto)"

Jump to navigation Jump to search
22 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: ru:Луангва)
No edit summary
==Mabadiliko makubwa ya kiwango cha maji==
Kiasi cha maji ndani ya mto hubadilika sana kufuatana na majira. Wakati wa ukame mto una maji kidogo na mahali pengi unapitika kwa miguu. Lakini kati ya [[Disemba]] hadi [[Machi]] wakati wa mvua katika milima ya chanzo chake na cha tawimito kuna maji mengi. Kila mwaka mwendo wa mto unaweza kubadilika kiasi kutokana na nguvu ya maji. Hii ni sababu moja ya kwamba hakuna watu wengi wanaokaa kando la mto huu.
 
{{Mbegu-jio-Zambia}}
 
[[Category:Mito ya Zambia]]
Anonymous user

Urambazaji