Gesi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gu:વાયુ
d roboti Nyongeza: wuu:气体; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Teilchenmodell Gas.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali ya gesi]]
[[Picha:Teilchenmodell Gas.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali ya gesi]]
[[Image:Teilchenmodell Feststoff.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali mango]]
[[Picha:Teilchenmodell Feststoff.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali mango]]
[[Image:Teilchenmodell Fluessigkeit.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali kiowevu]]
[[Picha:Teilchenmodell Fluessigkeit.png|thumb|180px|Atomi au molekyuli katika hali kiowevu]]


'''Gesi''' ni moja kati ya [[hali maada]]. Katika hali ya gesi [[atomi]] hazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria.
'''Gesi''' ni moja kati ya [[hali maada]]. Katika hali ya gesi [[atomi]] hazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria.
Mstari 11: Mstari 11:
Elmenti na dutu nyingi zapatikana kwa hali ya gesi.
Elmenti na dutu nyingi zapatikana kwa hali ya gesi.


==Tazama pia==
== Tazama pia ==
*[[Kiowevu]]
* [[Kiowevu]]
*[[Utegili]]
* [[Utegili]]
*[[Mango]]
* [[Mango]]


[[Category:Fizikia]]
[[Jamii:Fizikia]]


[[af:Gas]]
[[af:Gas]]
Mstari 98: Mstari 98:
[[wa:Gåz]]
[[wa:Gåz]]
[[war:Gas]]
[[war:Gas]]
[[wuu:气体]]
[[yi:גאז]]
[[yi:גאז]]
[[yo:Ẹ̀fúùfù]]
[[yo:Ẹ̀fúùfù]]

Pitio la 16:20, 1 Julai 2010

Atomi au molekyuli katika hali ya gesi
Atomi au molekyuli katika hali mango
Atomi au molekyuli katika hali kiowevu

Gesi ni moja kati ya hali maada. Katika hali ya gesi atomi hazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria.

Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Gesi haina umbo wala mjao kamili. Inawezekana pia kukaza gesi kwa mfano ndani ya chombo na kupunguza mjao kwa njia hii.

Mjao wa gesi hutegemea halijoto na shindikizo. Kama halijoto inaongezeka na shindikizo haibadiliki mjao utaongezeka.

Elmenti na dutu nyingi zapatikana kwa hali ya gesi.

Tazama pia