Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 73: Mstari 73:
[[it:Hominoidea]]
[[it:Hominoidea]]
[[he:הומינואידים]]
[[he:הומינואידים]]
[[sw:Hominidi]]
[[la:Hominoidea]]
[[la:Hominoidea]]
[[lt:Žmogbeždžionės]]
[[lt:Žmogbeždžionės]]

Pitio la 23:55, 27 Juni 2010

Sokwe
Sokwe mtu
Sokwe mtu
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe))
Familia: Hominidae

Hylobatidae

Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa na binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana.

Uainishaji

Familia ya juu Hominoidea

Familia Hylobatidae
Jenasi:
Hylobates
Hoolock
Symphalangus
Nomascus
Familia Hominidae
Nusufamilia Ponginae
Jenasi Pongo
Nusufamilia Homininae
Kabila Gorillini
Jenasi Gorilla
Kabila Hominini
Jenasi
Pan
Homo

Picha