Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: no:Muhammadu Buhari
Mstari 21: Mstari 21:
[[fr:Muhammadu Buhari]]
[[fr:Muhammadu Buhari]]
[[hr:Muhammadu Buhari]]
[[hr:Muhammadu Buhari]]
[[no:Muhammadu Buhari]]
[[pl:Muhammadu Buhari]]
[[pl:Muhammadu Buhari]]
[[yo:Muhammadu Buhari]]
[[yo:Muhammadu Buhari]]

Pitio la 08:33, 13 Juni 2010

Muhammadu Buhari (amezaliwa tar. 17 Desemba, 1942) alikuwa kiongozi wa kijeshi, rais (7) wa nchini Nigeria, toka 31 Desemba mwaka 1983 hadi 27 Agosti mwaka 1985. Mnamo tarehe 19 Aprili ya mwaka 2003 alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa wa mwaka huo, lakini hakuibuka kuwa mshindi.

Muhammadu Buhari alitanguliwa na Shehu Shagari kisha akafuatiwa na Ibrahim Babangida.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muhammadu Buhari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.