Wikipedia ya Kiholanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: da:Hollandsk Wikipedia
Mstari 34: Mstari 34:
[[af:Nederlandse Wikipedia]]
[[af:Nederlandse Wikipedia]]
[[ar:ويكيبيديا الهولندية]]
[[ar:ويكيبيديا الهولندية]]
[[bg:Уикипедия на нидерландски език]]
[[be:Нідэрландская Вікіпедыя]]
[[be:Нідэрландская Вікіпедыя]]
[[be-x-old:Нідэрляндзкая Вікіпэдыя]]
[[be-x-old:Нідэрляндзкая Вікіпэдыя]]
[[bg:Уикипедия на нидерландски език]]
[[ca:Viquipèdia en neerlandès]]
[[ca:Viquipèdia en neerlandès]]
[[cs:Nizozemská Wikipedie]]
[[cs:Nizozemská Wikipedie]]
[[da:Hollandsk Wikipedia]]
[[de:Wikipedia:Enzyklopädie/Niederländische Wikipedia]]
[[de:Wikipedia:Enzyklopädie/Niederländische Wikipedia]]
[[el:Ολλανδική Βικιπαίδεια]]
[[el:Ολλανδική Βικιπαίδεια]]

Pitio la 21:51, 11 Juni 2010

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiholanzi
The Dutch Wikipedia in May 2007
Kisarahttp://nl.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKiholanzi
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia ya Kiholanzi (Kiholanzi: Nederlandse Wikipedia) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiholanzi. Hii ilianzishwa mnamo tar. 19 Juni katika mwaka wa 2001, na ikafikisha makala 100,000 kunako tar. 14 Oktoba ya mwaka wa 2005.

Kwa muda mfupi ikawa imeipita Wikipedia ya Kipoland ikiwa kama Wikipedia ya sita kwa ukubwa, lakini baadaye ikarudi nyuma na kuwa sehemu ya nane kwa ukubwa. Mnamo tar. 24 Januari, 2006, idadi ya makala imeongezeka na kuwa 125,000. Mnamo tar. 1 Machi, 2006, ikaipiku Wikipedia ya Kiswidi na Kiitalia, yaani, ilikuwa kwa siku moja tu na kurudi tena katika sehemu yake ya sita.

Mnamo tar. 19 Machi, 2006, takriban makala 150,000 ziliongezeka na baadaye ikawa na makala nyingine zilizoongezeka na kufikia 200,000 hiyo ilikuwa kunako tar. 24 Mei, 2006. Mradi huu ulifikia makala 300,000 mnamo tar. 28 Mei ya mwaka wa 2007. Na kwa tar. 10 Januari ya mwaka wa 2008, Wikipedia hii imetunga zaidi ya makala 400,000 articles. Lengo la kufikisha makala 500,000 lilifikiwa mnamo tar. 30 Novemba katika huohuo wa 2008.[1]

Marejeo

  1. 500.000e artikel (website in Dutch language), retrieved December 7, 2008

Viungo vya Nje

Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kiholanzi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru