Wikipedia ya Kinorwei : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: da:Norsk Wikipedia
Mstari 46: Mstari 46:
[[cs:Norská Wikipedie]]
[[cs:Norská Wikipedie]]
[[cv:Норвег Википедийĕ]]
[[cv:Норвег Википедийĕ]]
[[da:Norsk Wikipedia]]
[[de:Wikipedia:Enzyklopädie/Norwegische Wikipedias]]
[[de:Wikipedia:Enzyklopädie/Norwegische Wikipedias]]
[[en:Norwegian Wikipedia]]
[[en:Norwegian Wikipedia]]

Pitio la 20:52, 11 Juni 2010

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kinorwei
Norsk Wikipedia
Logo of the Bokmål WikipediaLogo of the Nynorsk Wikipedia
Kisarahttp://no.wikipedia.org/
http://nn.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
Lugha asiliaKinorwei
MmilikiWikimedia Foundation
MwanzilishiJumuia ya wiki za Kinorwei

Kuna matoleo mawili ya Wikipedia kwa lugha ya Kinorwei: moja kwa ajili ya makala zinazoandikwa kwa Bokmål au Riksmål, na moja kwa ajili ya makala zinazoandikwa kwa lugha ya Nynorsk. Tovuti ya kwanza, yaani, Wikipedia halisi ya Kinorwei, ilianzishwa mnamo tar. 26 Novemba, 2001, na hiyo ilikuwa ikiruhusu makala ziandikwe kwenye kiwango cha Kinorwei cha kawaida.

Wikipedia ya Kinorwei cha Nynorsk ilianzishwa mnamo 31 Julai, 2004 na ikakua haraka sana. Kwa kufuatia kula zilizopigwa mnamo mwaka wa 2005, ukurasa wa mwanzo wa Kinorwei uikuwa unataja lugha zote mbili, yaani, Bokmål na Riksmål.

Mnamo mwezi wa Februari ya mwaka wa 2007, toleo la Bokmål/Riksmål ilimekuwa na zaidi ya makala 100,000 na toleo la Nynorsk likawa na zaisi ya makala 20,000. Mnamo Februari 2006, ikawa Wikipedia ya kumi na tatu kuwa na makala zaidi ya 50,000, na baada ya mwaka mmoja ikawa ya kumi na nne kufikisha makala 100,000.

Hata hivyo, ikaja kupitwa mnamo Aprili 2006 na Wikipedia ya Kifini na kuifanya iwe ya kumi na nne kwa hesabu ya wingi wa makala.[1]


Tazama pia

Marejeo

  1. [1]. As of February 16, 2009, the Bokmål/Riksmål contains more than 200,000 articles, while the Nynorsk version contains over 45,000

Viungo vya Nje

Wikipedia
Wikipedia
Norwegian (Bokmål) ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia
Wikipedia
Norwegian (Nynorsk) ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru