Furukombe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ca:Haliaeetus
Mstari 38: Mstari 38:
File:White Bellied Sea Eagle 070531b.jpg|White-bellied sea eagle
File:White Bellied Sea Eagle 070531b.jpg|White-bellied sea eagle
File:Pallas's Fish Eagle ( Haliaeetus leucoryphus) 2.jpg|Pallas's fish eagle
File:Pallas's Fish Eagle ( Haliaeetus leucoryphus) 2.jpg|Pallas's fish eagle
File:Stellar's Sea Eagle.jpg|Steller's sea eagle
File:Steller's_Sea_Eagle_-JurongBirdPark-Singapore-20081013.jpg|Steller's sea eagle
</gallery>
</gallery>



Pitio la 23:58, 9 Juni 2010

Furukombe
Furukombe wa Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Falconiformes (Ndege kama kozi)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na mwewe)
Jenasi: Haliaeetus
Savigny, 1809

Furukombe, fukombe, kwazi, yowe au tai mlasamaki ni ndege mbua wa jenasi Haliaeetus katika familia Accipitridae. Ndege hawa ni baina ya tai wakubwa kabisa. Uzito wao unatofautiana kutoka kg 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller). Manyoya yao yana rangi ya kahawa mpaka nyeusi lakini kichwa, mkia, kidari na tumbo ni nyeupe kufuatana na spishi. Furukombe wa Madagaska, wa Sanford na wa Ulaya wana kichwa hudhurungi. Spishi zote zinatokea karibu na maji ama baridi au ya bahari. Hula samaki hasa lakini ndege wengine, mizoga na mara kwa mara wanyama wadogo pia. Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya mti au mwamba. Jike hutaga mayai 1-3.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha