Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hr:Bukoba |
Infobox - jina, replaced: = Jiji la → = using AWB |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Infobox Settlement |
{{Infobox Settlement |
||
|jina_rasmi = |
|jina_rasmi = Bukoba |
||
|picha_ya_satelite = Bukoba View.JPG |
|picha_ya_satelite = Bukoba View.JPG |
||
|pushpin_map = Tanzania |
|pushpin_map = Tanzania |
Pitio la 12:47, 9 Juni 2010
Bukoba | |
Mahali pa mji wa Bukoba katika Tanzania |
|
Majiranukta: 1°19′12″S 31°48′0″E / 1.32000°S 31.80000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Bukoba Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 80,000 |
Bukoba ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221. [1]
Bukoba iko kando la Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.
Marejeo
Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini - Mkoa wa Kagera - Tanzania | ||
---|---|---|
Bakoba | Bilele | Buhembe | Hamugembe | Ijuganyondo | Kagondo | Kahororo | Kashai | Kibeta | Kitendaguro | Miembeni | Nshambya | Nyanga | Rwamishenye |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bukoba (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |