Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
→‎Picha: add file
d roboti Nyongeza: pl:Francolinus
Mstari 99: Mstari 99:
[[lt:Frankolinai]]
[[lt:Frankolinai]]
[[nl:Frankolijnen]]
[[nl:Frankolijnen]]
[[pl:Francolinus]]
[[pt:Francolim]]
[[pt:Francolim]]
[[sv:Frankoliner]]
[[sv:Frankoliner]]

Pitio la 10:57, 9 Juni 2010

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa

Kwale
Kwale bawa-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Jenasi: Francolinus Stephens, 1819

Xenoperdix Dinesen, Lehmberg, Svendsen, Hansen & Fjeldså, 1994

Spishi: Angalia katiba

Kwale (pia kware) ni ndege wa jenasi Francolinus na Xenoperdix katika familia ya Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha