John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ca:John Fisher
Mstari 16: Mstari 16:
{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}


[[ca:John Fisher]]
[[cs:John Fisher]]
[[cs:John Fisher]]
[[de:John Fisher]]
[[de:John Fisher]]

Pitio la 07:30, 8 Juni 2010

John Fisher

John Fisher au John wa Rochester (146922 Juni, 1535) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kule Uingereza.

Pamoja na Thomas More, alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la Roma. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Kabla ya hapo Papa Paulo III alimteua kuwa kardinali.

Mwaka 1935 alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni 22 Juni katika Kanisa Katoliki, na 6 Julai katika Kanisa Anglikana.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.