Nouméa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be-x-old:Нумэа |
d roboti Nyongeza: uk:Нумєа |
||
Mstari 46: | Mstari 46: | ||
[[sv:Nouméa]] |
[[sv:Nouméa]] |
||
[[tr:Nouméa]] |
[[tr:Nouméa]] |
||
[[uk:Нумєа]] |
|||
[[war:Nouméa]] |
[[war:Nouméa]] |
||
[[zh:努美阿]] |
[[zh:努美阿]] |
Pitio la 15:18, 3 Juni 2010
Noumea (pia: Numea) ni mji mkuu wa Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ambayo ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki.
Mji ulianzishwa mwaka 1854 kwa jina la "Port-de-France" (Bandari ya Ufaransa) kwenye rasi ya kusini ya kisiwa cha Grande Terre. Idadi ya wakazi wake imefikia watu 91.000.
Uchumi wa Noumea hutegema utalii pamoja na migodi ya nikeli.
Viungo vya Nje
- Tovuti ya manisipaa ya Noumea (Kifaransa)
Anwani ya kijiografia : 22°16'33"S, 66°27'29"E